Msaada: Kuna mtu amehack simu yangu

Dah ni balaa kwa kweli
 
Haiwezekani ikawa ndiyo hiyo maana whatsapp ni end to end encryption ndiyo inatumika, hivyo bila ku install application kwenye simu ya rubii asingeweza kuhack na kusoma sms zake maana sms zinasomeka pale tu zinapofika kwenye simu ya mhusika zikiwa ziko hewani zinakuwa encrypted ukinasa ni kama matakataka yasiyoeleweka.
 
ingia ktk app manager angalia application zilizopo ukiona usiyoielewa(inayohusu spy) uninstall hiyo, hakuna haja ya kureset

Mkuu hio njia unayosema wewe ni tofaut na madai ya huyu dada Rubii
Mtu akikuwekea spy call ktk cm yako sana saaana huyo atapata kuskia cm zilizopigwa ktk hio sim na zilizopiga
Na atazpata kwa hio hio sim iliowekwa spycall app
Lkn rubii anaeleza jamaa anapata data zoooote pmj na za whatsap
Huyo mtu amehack hapo hajaweka spycall
Naimani umemielewa mkuu
 
Simu yako ni mtandao gani maana sometimes inafanywa in collaboration Na watu wasio waaminifu toka kwenye Mtandao unaotumia Na MTU wa karibu Na wewe
 
rubii hiyo mobile tracker ndo inayokuspy wewe!..Huyo mtu aliipata simu yako mkononi akainstall hiyo application then akailink na e-mail address yake so kila kitu cha simu yako kinaenda kwenye hiyo simu ake na ukitaka asivipate usiwe na bundle ama zima data cause vinategemea data kutuma kwenye e-mail yake!..
Hata me nimefanya kwenye simu yangu ni kwamba inanisaidia sometime hua napoteza sana simu ama sahau so itanisaidia futa ama jua ilipo simu!..
Nimesahau jinsi ya kuiunstall but jaribu google MOBILE FREE TRACKER how to unstall it..
 

Mkuu weka MOBILE TRACKER weka
FIND MY PHONE weka LOCATION TRACKER yote hio kamwe haita track wala hata kuona mssgs za whatsap Mkuu,
Huyo jamaa kamchezea kitoto saaana huyo alichokifanya ktk sim yake(rubii)
Ni amehack vitu viwili hapo ktk hio hio sim ya huyo rubii
Ni mtu wakaribu ndo kafanya hivyo
Hadi kuichkua hio sim akafanya mamboz kisha akairejesha ka alivoichkua hio sehem alipoikuta,
NDOMAANA NKAMUULIZA HUYO MLALAMIKAJI ANATUMIA AINA GANI YA SIMU??
TATIZO NAE KIMYA HUENDA KAITUPIA SIM NDANI YA NDOO YA MAJI NDOMAANA YUPO KIMYA[emoji3]
 
Kama kairoot simu yake vyote vinawezekana!..inawezekana mwenye simu hajui lakini huyo aliechukua hiyo simu ameiroot!..
 
Ulivyo mrembo watakuteka. Yaweza kuwa unasumbua sehemu katika ridhiki za watu aidha siasa, au unabeba mume Wa MTU hivyo wanaanza kufuatilia nyendo zako. Badili simu na laini kabisa.
Kubadili laini pekee haitakusaidia maana serial number ya simu wanayo. Take care. cc@rubii
 
Kama kairoot simu yake vyote vinawezekana!..inawezekana mwenye simu hajui lakini huyo aliechukua hiyo simu ameiroot!..

Akitaka kumkamata mwizi wake. Au mbaya wake
Aingie whatsap tu[emoji3],,,
Kuna chocho moja humo whatsap akiingia na akaifungua directlly ataiona device ilio hack hio whatsap
Na atamtbua huyo mtu kutokana na device atakayoiona
 
Habari zenu wapendwa.
Mwenye uelewa wa nini chakufanya anisaidie jamani
Napiga simu nayeye anapata taarifa yote
Msg zangu anauwezo wa kuzisoma na kujibu yeye zote za kawaida na whatsapp pia
Hata location yangu anaijua kila ninaposogea.
Rubii kama ni mumeo tumia nafasi hio kumuonyesha kwamba wewe ni mwaminifu kwenye ndoa. Nunua kisimu kidogo hamishia michepuko yote huko. Alafu huko alikokuhack kila siku kua unampigia mama ake mzazi [emoji23][emoji23]
 
Acha tu akuspy, ni sifa iliyotukuka kuwa na bodyguard wa kujitolea pasi na mshahara, u are the star, be happy for knowing that not only God who is watching you but there is also a human being, I WISH I COULD BE YOU
 
Acha tu akuspy, ni sifa iliyotukuka kuwa na bodyguard wa kujitolea pasi na mshahara, u are the star, be happy for knowing that not only God who is watching you but there is also a human being, I WISH I COULD BE YOU
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Walishindwa

Rubiikimimi[emoji85]
 
Habari zenu wapendwa.
Mwenye uelewa wa nini chakufanya anisaidie jamani
Napiga simu nayeye anapata taarifa yote
Msg zangu anauwezo wa kuzisoma na kujibu yeye zote za kawaida na whatsapp pia
Hata location yangu anaijua kila ninaposogea.
kama bado hujasolve hili tatzo labda nijarb kuelezea experience yang abt mobile tracker kuna thread 1 hv nilielekeza namna ya ku2mia mobile tracker na namna inavyofanya kazi na kibaya zaidi mobile tracker inaweza kuchukua data za whatsapp kwa rooted device na data nyngne kama call, sms, photos, location and others kwa non rooted device hizi ni among few pictures on how it works anyway 2achane na how it works app hii ikishakuwa installed on phone haionekan na inajiandika jina tofaut kwenye device administrator such as wifi and etc so ni vigumu kuiona so ngoja nijarb kukuelekeza kwa picha on how to deactivate it

sent from my iPhone 7 using jamiiforum app
 
Habari zenu wapendwa.
Mwenye uelewa wa nini chakufanya anisaidie jamani
Napiga simu nayeye anapata taarifa yote
Msg zangu anauwezo wa kuzisoma na kujibu yeye zote za kawaida na whatsapp pia
Hata location yangu anaijua kila ninaposogea.
hvyo basi kama ni mobile tracker alichofanya ni hiki baada ya kuingia kwenye cm inakuwa hv... namna ya ku deactivate isifanye kaz ingia "setting", "security" then device administrator ukikuta wifi unmark baada ya ku unmark haitoweza kutuma tena taarifa...... kama hakuna wifi kwenye device administrator sema 2jue namna nyingine.........

sent from my iPhone 7 using jamiiforum app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…