mtembea kwa miguu
JF-Expert Member
- Mar 23, 2012
- 1,121
- 1,737
Mkuu umeelezea vizuri sana. Niongeze tu kuwa kuna apps zingine za kuspay si lazima ziwe installed kwenye sim ya muhusika isipokuwa unapozikofigure basi unazikofigure na number za mtu unaetaka kumspay. Kwa apps ya namuna hii ili usiweze kuwa spayed kwenye watsap basi badilisha number ya watsap kwenye watsap setting yako.Kasheshe hilo, huyo mtu hawezi kukuambia yeye ni nani lakini siku ukimjua utashangaa sana maana ni mtu wa karibu yako kabisa kama si mpenzi wako ama mkeo/mumeo au ni rafiki tu wa karibu sana lengo ni kuku spy mawasiliano yako. Kumbuka vizuri mtu ambaye anauwezo wa kutumia simu yako ni nani maana atakua amefanya hivi, kachukua simu yako kadownload app yoyote ya spy then akaisajili kwa email yake then aka hide hiyo app kwenye simu yako sasa yeye akienda ku login kule kwenye web basi kila kitu kinachoendelea kwenye simu yako anakipata, kuna spy app zingine zina spy mpaka whatsapp ila kama hiyo app haina uwezo wa kuona whatsapp basi upande wa whatsapp alichokifanya yeye amefungua whatsapp web kwenye computer yake inakuja barcode fulani hivi akachukua simu yako akaingia whatsapp akafungua camera akalengeshea kwenye ile barcode ya kwenye laptop yake basi whatsapp yako inafunguka kule pia. Akarudisha cm yako, sasa kila unapokua online na kule unasomeka online yaane yeye pia anauwezo wa kumjibu mtu pia. Kwenye upande wa sms za kawaida wewe angalia app yoyote kwenye simu yako kama inahusiana na spyng itoe
Hutaki unaachaDuh Uwezo wako wa kufikiri ndo umeishia hapo?! Asante kwa mawazo yako
Nenda setting kisha security alaf device administrator kisha tuambie unakuta applications gan ndani ya device administratorsHabari zenu wapendwa.
Mwenye uelewa wa nini chakufanya anisaidie jamani
Napiga simu nayeye anapata taarifa yote
Msg zangu anauwezo wa kuzisoma na kujibu yeye zote za kawaida na whatsapp pia
Hata location yangu anaijua kila ninaposogea.
Mkuu ni pm aina ya hizi app ambazo haziitaji kuinstall katika simu ya muhusika, msaada tafadhali kuna kitu nahisi nimefanyiwa na mimi piaMkuu umeelezea vizuri sana. Niongeze tu kuwa kuna apps zingine za kuspay si lazima ziwe installed kwenye sim ya muhusika isipokuwa unapozikofigure basi unazikofigure na number za mtu unaetaka kumspay. Kwa apps ya namuna hii ili usiweze kuwa spayed kwenye watsap basi badilisha number ya watsap kwenye watsap setting yako.
Mkuu umeelezea vizuri sana. Niongeze tu kuwa kuna apps zingine za kuspay si lazima ziwe installed kwenye sim ya muhusika isipokuwa unapozikofigure basi unazikofigure na number za mtu unaetaka kumspay. Kwa apps ya namuna hii ili usiweze kuwa spayed kwenye watsap basi badilisha number ya watsap kwenye watsap setting yako.
Pole sana. Huyo kiumbe Hana ustaarabu kabisa. Ukishamjua na kujua namna ya kutatua tatizo, usisahau kumpeleka police
Akishakuwa nyuma ya nondo yote hayo ataelezea vizuri tu na utajua kwanini alifanya maamuzi ya kipuuzi kiasi hichoAsante mpendwa.
Yaani sijui ananitafuta nini au ametumwa na nani na ana mpango gani namimi maana si jambo la kawaida.
Spying apps hata kweny brackbery zipo... Mtu akitaka ku kuspy anaweza tu akiamua.Ndio maana siku zote nitaendelea kutumia Blackberry. Huo upuuzi huwez kufanyia simu hizi.
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Unistall apps ambazo huzielewi, change password ya gmail, na fata ushaur wa wengine huko juuUyo ameweka application ambayo ina uwezo wa kufanya aya
Kutambua location
Kuona na kusoma chats zako za watsapp sms za kawaida na hata messenger za Facebook
Kuoona missed calls received calls na dialed calls
Yote ayo ameweza baada ya ku install app kama MAXXSPY so chakufanya nenda settings kisha fanya factory resetting utakua umetatua tatzo. cc rubii
Nakubaliana na wewe lakin sio rahis kama kwenye android. Huko kuna application nyingi na zinapatikana kirahis sana. Kwa mfano ili udownload app kama hizo blackberry utatumia mda mrefu na nyingi ni za kulipia tofaut na android au Os.Spying apps hata kweny brackbery zipo... Mtu akitaka ku kuspy anaweza tu akiamua.
Huyu wame hack namba yake sio simuFanya factory reset mkuu.