steve_shemej
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,092
- 1,433
Hamna mwezi wenye siku 32...Wiki inasiku Saba
7×2=14
Mwezi una wiki nne
7×4=28
Mwezi wa pili huwa na siku 28
Sasa hii miezi yenye siku 30,32 hizi siku huwa zinatokea wapi
Warumi wa zamani kama ustaarabu wa zamani kabla yao, walitegemea dhana yao ya mwezi juu ya Mwezi. ... Julius Kaisari alibadilisha kalenda ya Kirumi mnamo 46 K.K kufanya kila mwezi uwe na siku 30/31, isipokuwa Februarius, ambayo ilikuwa na siku 28/29 na kupata mwaka wa nne wa ziada.Wiki inasiku Saba
7×2=14
Mwezi una wiki nne
7×4=28
Mwezi wa pili huwa na siku 28
Sasa hii miezi yenye siku 30,32 hizi siku huwa zinatokea wapi
ulisikia wapi?Wiki inasiku Saba
7×2=14
Mwezi una wiki nne
7×4=28
Mwezi wa pili huwa na siku 28
Sasa hii miezi yenye siku 30,32 hizi siku huwa zinatokea wapi
Bro sjakuelewaHii hesabu ingekuwa ndio mtihani wako wa kwenda peponi ungefeli ? Okay, kabla hujaijua kalenda unatakiwa ujue hesabu za kujumlisha, kuzindisha, kugawanya na kutoa.
Basi kama hujaelewa hadi hapo we baki hivyohivyo tu.Bro sjakuelewa
Kwani we aliekuambia Mwezi una week nne kamili ni nani?Wiki inasiku Saba
7×2=14
Mwezi una wiki nne
7×4=28
Mwezi wa pili huwa na siku 28
Sasa hii miezi yenye siku 30,32 hizi siku huwa zinatokea wapi
Basi kama hujaelewa hadi hapo we baki hivyohivyo tu.
Hamna mwezi wenye siku 32...
Basi kama hujaelewa hadi hapo we baki hivyohivyo tu.
Na hapo bila shaka walianza kutilia wasi hata majibu yake ya mwanzo.Hahaha umenikumbusha ticha mmoja wa histori alienda kufundisha form one akasema ulizeni tarehe za matukio yote nitajibu na kuelezea kila tukio na tarehe husika, watoto waliuliza kila tarehe ticha anashuka nondo.
Dogo mmoja bright akampiga swali la mtego eti February 30 mwaka 1962 TANU walifanya tukio gani kubwa sana maeneo ya Lumumba, Ticha alishuka nondo huku wanafunzi wanacheka balaa.
Mwaka una siku 365.25Wiki inasiku Saba
7×2=14
Mwezi una wiki nne
7×4=28
Mwezi wa pili huwa na siku 28
Sasa hii miezi yenye siku 30,32 hizi siku huwa zinatokea wapi
Mi hapo tu kwenye siku 365 na robo. Uwa najiuliza ni siku gani ni robo siku.Mwaka una siku 365.25
Na wiki 52.
Je zinaendana?
Mwezi wa kirumi huo mkuuHamna mwezi wenye siku 32...