Msaada, kumiliki Chainsaw kwa ajili ya kusafishia Shamba

MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Jul 22, 2011
3,752
5,497
Hbr wakuu

Naomba kufahamishwa kama Kuna katazo lolote au kibali chochote kumiliki hii mashine kama tool katika farmkit. Kuna shamba kubwa nahitaji kusafisha lote na kwa haraka huu mtambo naona ndio utarahisisha hilo zoezi.

Nimesikia zinazuiwa, mara zinakamatwa baadhi ya maeneo.... Msaada mwenye kujua ukweli juu ya hilo.
 
Chainsaw zinazuiwa??
Sidhan maana hapa nilipo zipo nyiingi zinapiga kazi.
Labda inawezekana wanazuia kukata miti ovyo.
Ni bora uende halmashauri husika ya hapo ulipo idara ya misitu na kilimo watakupa mwelekeo wa reserved forest na pia uliza swali lako
 
asante mkuu, nitafanya hivyo...
 
Mkuu au mimi sijakuelewa. Ununue chain saw kusafisha shamba? Kila msimu utakuwa unakata miti kwemye shamba lako? Ningekuwa mimi ningekodi sio kununua.
 
Chainsaw zinazuiwa??
Sidhan maana hapa nilipo zipo nyiingi zinapiga kazi.
Labda inawezekana wanazuia kukata miti ovyo.
Ni bora uende halmashauri husika ya hapo ulipo idara ya misitu na kilimo watakupa mwelekeo wa reserved forest na pia uliza swali lako
Ukitaka kukodi bei gani
 
Huu uzi ni mzuri kwangu nina ekari 65 kibiti ni pori nataka kulisafisha haraka kuna gharama kwa ekari.
 
Kijiji yalipo mashamba yangu kumiliki chain saw unahitajika uwe na kibali kutoka ofisi ya kijiji na unakilipia. Pia kukata miti lazima uwe na kibali cha kukata miti hata kama ni shamba lako.
 
Ni kweli wanafanya kuzuia ukataji miti ovyo
 
Haziruhusiwi Zanzibar tu, kwa bara miliki utakavyo hadi zingine ulete nikutunzie
 
Sheria ya misitu ya mwaka 2002 kifungu No 14: kimeeleza vizuri kuhusu umiliki wa chain saw
1. Sheria hii ni ngumu lakini wataalamu wa misitu huwa hawaipi nguvu inayotakiwa mfano chainsaw ama mobile saw mill lazima iwe imesajiliwa.

Kwa ufupi unaweza kutumia bila kuwaona wahusika inategemea tu shamba lako lipo maeneo gani. Pia waweza kuwapa watu wa Mali asili taarifa na ukapatiwa kibali cha kuitumia kusafisha shamba lako.

Usiogope sheria zimetungwa ili zivunjwe faini ya kutumia bila kibali ni 50K pia inaweza kuwa juu zaidi kulingana na sheria ndogo ndogo walizojiwekea.
 
Kwa maeneo ya iringa huku kumiliki chainsaws hakuna shida sana ya vibali ila utaratibu unahitaji mmiliki awe na kibali.
 
Back
Top Bottom