Pole sana kwa Mtoto.
Mimi ni mmoja pia wa waliofiwa na mama siku ya kwanza tu baada ya kuzaliwa. Nililishwa maziwa ya dada yangu wa tumbo moja, alikuwa na miezi mitatu tu tangu ajifungue. Ikabidi amsimamishe mwanaye, aninyweshe mimi. Ila kuna wakati pia ilibidi tunyonye wote na mtoto wake. And am strong enough.
Ushauri wangu, tafuteni mama aliyejifungua. Ongeeni nae, amsaidie mtoto.
Mambo ya maziwa ya ng'ombe na Ya kopo sishauri kabisa. At least afikie miezi 6.