Msaada kulea mtoto mchanga asie na Mama

Msaada kulea mtoto mchanga asie na Mama

Msomali_

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2017
Posts
538
Reaction score
585
Hello guyz,wakuu poleni na Majukumu.
kwa walioachiwa watoto wadogo/wachanga miezi 3 -5 Kwa sababu mbalimbali na Watu wao wakaribu/ndugu/jamaa/rafiki ,walifanyaje mpaka wakakua bila matatizo.
NB;km walitumia maziwa ya kununua supermarket(bottle milk feeding) ni aina gani ndio mazuri na bei zake(bottle price).Please am just asking
 
Nakumbuka mtoto wa marehemu Shangazi yangu alikuwa anapewa ya ng'ombe wa kukamuliwa!
Alikua na afya nzuri now yupo darasa la kwanza na afya yake safi kabisa
 
Kuna mtoto kaibiwa mahali fulani (natania tu
Nadhani ukienda clinic utapewa taarifa zaid
 
Maziwa inategemea na uwezo wako km upo vzr unanunua ya kopo kama haupomvzr tumia ya ng'ombe
 
Maziwa ya ng'ombe yana mafuta mengi kuliko ya binadamu ukimpa mtoto moja kwa moja lazima aharishe
Ushauri
1)Tenda kituo cha afya au hospitali iliyo karibu nawe wakueleshe jinsi kuchanganya na maji
2)..unaweza kutumia lactogeni one haya ni maziwa special kwa watoto chini ya miez sita na yanamaelezo yake kwenye kopo...shida ni jinsi ya kuyapata Yale halisi (original)
 
Pole sana kwa changamoto ya mtoto mchanga. Kama familia ina uwezo kidogo tumieni S26 ila sijajua kama feki hakuna maana wachina wamedhamiria kutuua ili watawale jumla. Ila pia kama mtampata mkamuaji wa maziwa ya ng'ombe mnayemuamini mpeni ya ng'ombe ila muombe ushauri kwa manesi wa watoto jinsi ya kuchanganya maji ili kuondoa uzito hasa kwa umri huu mdogo. Ila pia mpatieni vyakula ya high protein hivyo ni lazima mtengeneze soya ili muongeze katika chakula chake. Msijali atakuwa tena kwa kasi ya ajabu sana. Hivyo maziwa kiasi na kauji kiasi kwa umri huu wa miezi mpaka sita. Akifika sita mnaanza kumpa na vimtori na vyakula vya kuponda, matunda na juice fresh yaani mtamshangaa, Mlambisheni vyakula na ninakuhakikishia atakuwa haraka tu sana,
 
Hello guyz,wakuu poleni na Majukumu.
kwa walioachiwa watoto wadogo/wachanga miezi 3 -5 Kwa sababu mbalimbali na Watu wao wakaribu/ndugu/jamaa/rafiki ,walifanyaje mpaka wakakua bila matatizo.
NB;km walitumia maziwa ya kununua supermarket(bottle milk feeding) ni aina gani ndio mazuri na bei zake(bottle price).Please am just asking

Mkuu Msomali_ tafadhali fika katika kituo cha afya au hospital na onana na daktari wa watoto, atakupa maelezo ya kina ya namna ya kumlea mtoto, kuanzia aina ya maziwa hadi jinsi ya kumwangalia na kujua kama ana shida yoyote! All the best mkuu
 
Kama hali yako ya kiuchumi iko vyema, mnunulie maziwa ya SMA Gold, yanauzwa ghali but at least ndio yanaweza kukaribia kuwa substitute ya maziwa ya mama, ingawa kiuhalisia hakuna substitute ya maziwa ya mama. Maziwa ya ng'ombe nakushauri usimpe kabisa, mtoto mwenye miaka chini ya mmoja haishauriwi kumpa maziwa ya ng'ombe!!
 
Pole sana kwa changamoto ya mtoto mchanga. Kama familia ina uwezo kidogo tumieni S26 ila sijajua kama feki hakuna maana wachina wamedhamiria kutuua ili watawale jumla. Ila pia kama mtampata mkamuaji wa maziwa ya ng'ombe mnayemuamini mpeni ya ng'ombe ila muombe ushauri kwa manesi wa watoto jinsi ya kuchanganya maji ili kuondoa uzito hasa kwa umri huu mdogo. Ila pia mpatieni vyakula ya high protein hivyo ni lazima mtengeneze soya ili muongeze katika chakula chake. Msijali atakuwa tena kwa kasi ya ajabu sana. Hivyo maziwa kiasi na kauji kiasi kwa umri huu wa miezi mpaka sita. Akifika sita mnaanza kumpa na vimtori na vyakula vya kuponda, matunda na juice fresh yaani mtamshangaa, Mlambisheni vyakula na ninakuhakikishia atakuwa haraka tu sana,
Asante Mkuu nimekuelewa sana
 
Kama hali yako ya kiuchumi iko vyema, mnunulie maziwa ya SMA Gold, yanauzwa ghali but at least ndio yanaweza kukaribia kuwa substitute ya maziwa ya mama, ingawa kiuhalisia hakuna substitute ya maziwa ya mama. Maziwa ya ng'ombe nakushauri usimpe kabisa, mtoto mwenye miaka chini ya mmoja haishauriwi kumpa maziwa ya ng'ombe!!
Ni kweli mkuu naelewa i hav a frend of myn,Mama alimsusaga alivomzaa wakampaga maziwa ya ng'ombe hakukua kabisa...Ni Dwarf(mbilikimo) ana km 20yrs
 
Mtoto kwanzia miezi 4 uji mwepesi unafaa wa dona unagoroga uji kabla hujaanza kupika unauchuja then uchemshe pia kama huna uwezo maziwa ya ngombe ila una mix na maji yasiwe mazito sana mueke ratiba labda maziwa ni asubuhi na usiku hapo kati just google baby food zipo nyingi
 
Back
Top Bottom