Mama Nehemiah
JF-Expert Member
- Sep 9, 2018
- 241
- 433
Ok, ndicho nilikuwa nafikiria mkuu. Nipo mbezi ya KimaraUpo wapi mkuu?
Kila mfuko mmoja wa cement toa tofali 45.
Ni kutokana na ukubwa wa kiwanja.(Square meters 1,218)Hizo tofari zinazo itajika ulipiga hesabu au kulingana na ukubwa wa site?
Kulingana na ukubwa wa site.(1218 squaremeters)Hizo tofari zinazo itajika ulipiga hesabu au kulingana na ukubwa wa site?
Na design ya uzio je? Au unataka kuzungusha tu kwa tofali kama wanavyofanya wenye Yards?Kulingana na ukubwa wa site.(1218 squaremeters)
Ni uzio wa tofali tu. Mbwebwe nyingine sitaweka.Na design ya uzio je? Au una taka kuzungusha tu kwa tofari kama wanavyo Fanya wenye Yards?
Yes mkuu ndicho nilifikiria. Kwangu kuokoa hata laki 5 tu nitashukuru.Utaokoa takribani milioni mbili, kulinganisha na kununua zilizo tayari.
Yes mkuu ndicho nilifikiria.kwangu kuokoa hata laki 5 tu nitashukuru
Duh hatari mfuko mmoja tofali 45...hilo tofali au mchangaUpo wapi mkuu?
Kila mfuko mmoja wa cement toa tofali 45...
Thanks mkuu.On a roughly but serious note:
Kwa hesabu ya tofali 45, kwa tofali 4800 utahitaji simenti mifuko takribani 110. Kwa bei ya 20,000/- kwa mfuko ni 2.2M...
Mkuu tofali 45 kwa mfuko 1 wa cement ni kawaida na matofali yanatoka imaraDuh hatari mfuko mmoja tofali 45...hilo tofali au mchanga
Ndio na huwa yanakuwa imara tuMfuko mmoja tofalli 45?
Babu.......tofali 45 kwa mfuko.... Mmmmhmn zitakuwa imara hizo tofali?!Upo wapi mkuu?
Kila mfuko mmoja wa cement toa tofali 45....
Hamna uimara hapo.Mkuu tofali 45 kwa mfuko 1 wa cement ni kawaida na matofali yanatoka imara
Ndio na huwa yanakuwa imara tu
Tofali 45 kwa mfuko? Si mchanga mtupu tu huo jamani.Upo wapi mkuu?
Kila mfuko mmoja wa cement toa tofali 45...
Sawa mkuuNi vema tujifunze kufuata viwango (sisi sio wa kwanza kufyatua tofali, walishafyatuaga wenzetu huko miaka ya nyuma) ndio maana ikaonekana ni vema kuweka viwango katika kila kitu kinachofanyika...