Mashine ya kufyatua tofali kwa mkono

Mashine ya kufyatua tofali kwa mkono

mtungu

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2021
Posts
271
Reaction score
437
Naomba kujua gharama ya kununua mashine ya kufyatua tofali kwa mkono nipo tanga mjini nimesikia zidapatikana sido sijui ni kweli naitaji yenye uwezo wa kutoa tofali ya nnchi 8
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom