Wakati wanaoijua vizuri ccm kama Kinana wanatafuta njia ya kusepa wewe kula kulala eti unauliza uingilie mlango gani! Hakika yale maneno "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa" Mungu aliyatamka kwa makusudi kabisa nawe umetudhihirishia.
Kujiunga na CCM unatakiwa ule hela ya misaada ya wahanga na rambirambi za wafiwa hicho ndio kigezo kikuuSina shaka na afya zenu
Wakuu nimeamua kwa dhati kabisa kujiunga na chama kikongwe nchini na chenye ushawishi mkubwa kwa wananchi wake ukiangalia falsafa, mtizamo na sera za chama. Hii haina maana nilikuwa upinzani no. mm nilikuwa neutral sikuwahi kumiliki kadi ya chama wala kushiriki kazi zozote za kichama. Leo baada ya kutafakari nikaona kama kijana nahitajika pia kujenga nchi yangu kupitia chama na hasa CCM.
Ombi langu kwenu wadau naomba mnipe mwongozo na taratibu za kujiunga rasmi na Chama Cha Mapinduzi (CCM)-[Revolutionary party]
Kidumu chama cha Mapinduzi
Asanteni
Huna maana wewe nenda kafie huko kwa mafisadiSina shaka na afya zenu
Wakuu nimeamua kwa dhati kabisa kujiunga na chama kikongwe nchini na chenye ushawishi mkubwa kwa wananchi wake ukiangalia falsafa, mtizamo na sera za chama. Hii haina maana nilikuwa upinzani no. mm nilikuwa neutral sikuwahi kumiliki kadi ya chama wala kushiriki kazi zozote za kichama. Leo baada ya kutafakari nikaona kama kijana nahitajika pia kujenga nchi yangu kupitia chama na hasa CCM.
Ombi langu kwenu wadau naomba mnipe mwongozo na taratibu za kujiunga rasmi na Chama Cha Mapinduzi (CCM)-[Revolutionary party]
Kidumu chama cha Mapinduzi
Asanteni
Nimekuelewa kumbe wote walikuwa na makundi ambayo yapo loyal kwao? Wote wezi ila walizidiana kete. Kingine mi sio ccm na sijawahi kuwa. Ila lowasa ananichukiza na magufuli ananivutia.Mkuu u know very well ccm hta ukiwazidi kwenye kuiba kura wanafuta matokeo ryt?? Uliona halmashauri ya kinondoni pia uliona tanga uliona na zenji yaani wana back up ya dola nzima hapo nikubali tulizidiwa kete!!! Lowasa alijiamini coz alikuwa na watu loyal ndani ya serikali na tume kma wakina engineer natty wa kinondoni (aliyetangaza majimbo yote mannne ya kinondoni yameenda ukawa )waliohakikisha kura zake haziibiwa hta chembe but kikwete alilijua hili na alhamisi kabla ya uchaguzi akafanya reshuffle kubwa NEC kwa kuweka watu wapya walio loyal kwake na jinsi flow of communication itakavyokuwa!! (Ukitaka kuona hili baada ya uchaguzi ccm imetimua wakurugenzi wengi na hta makada wa ccm walioonekana kuwa loyal kwa lowassa wakati wa uchaguzi na kupelekea ccm kuanguka ) hii ndio ilikuaa pigo kwa lowassa otherwise kma angeshinda bado wangefuta matokeo so its all the same kuwa CCM haitoki kwa makaratasi!!!!!
Anyway unaweza usielewa kwa kuwa upo ccm hta nape anajibugu kma wwe ila ngoja 2020 ndio ataelewa kma ccm wanaibaga kura au hapana atakapogombea kura za maoni ccm mtama so naamini hta wwe huelewi ila lembeli alielewa siku alipoingia chadema
Nilijiunga na CHADEMA 2012, najuta kwanini nilichelewa kujiunga. Nimepoteza muda wangu mwingi CCM. Sasa ninauhakika nitafia CHADEMA hata kama mvua itanyesha au jua likawaka.Sijawahi kutamani kuwa ccm.
Kila la kheri
Mwalimu wangu wa civics.form 4.ndiye aliyenifundisha.mpaka nikaichukia ccm,tangu najitambua sikuwa ccm.na nilipo kuja kufundishwa na huyu mwalimu ndo kabisaa.Nilijiunga na CHADEMA 2012, najuta kwanini nilichelewa kujiunga. Nimepoteza muda wangu mwingi CCM. Sasa ninauhakika nitafia CHADEMA hata kama mvua itanyesha au jua likawaka.
Mbona mnapenda kuipa sifa sana mijitu isiyo stahili,toka lini balozi akawa mfanyakazi wa serikali?mabalozi hutokana na chama na huchaguliwa na wanachama wa chama husika sasa iweje leo wawe waajiriwa wa serikali,serikali ipi?Wajumbe wa nyumba kumi niwafanyakazi wa serikali sio chama mkuu..labda niulize ofisi zao hapa nilipo
Hamna sio kuiba mkuu ila lowassa alijiamini atashinda ssa kwanni aibe ndio maana hta kampeni zake hakutumia nguvu sana kiufupi watu walikuwa wamefanya maamuzi ya kumpeleka ikulu ndio maana alikuwa anaongea dakka 5 tu ila kura mamilion....... muhim ni kwamba kuna watu waliweka uzalendo mbele ndani ya NEC na hao ndio waliotimuliwa hta kuna generali moja aliweka loyalty upande wa pili walitaka kumshughulikia kwa sumu akiwa nje !!! Anyway mtasema propaganda ila ndo ivo 2015 ccm was bust open na kma sio nguvu ya ziada ya "kitengo" leo hii tungekuwa tunaongea mengineNimekuelewa kumbe wote walikuwa na makundi ambayo yapo loyal kwao? Wote wezi ila walizidiana kete. Kingine mi sio ccm na sijawahi kuwa. Ila lowasa ananichukiza na magufuli ananivutia.
Sorry typing error! Karibu CCM.Hizo figure mmmmmh!!!!!!
Labda mie ndie nikukaribishe maana naijua, naifaidi kwa raha zangu!!!Sorry typing error! Karibu CCM.
Sina shaka na afya zenu
Wakuu nimeamua kwa dhati kabisa kujiunga na chama kikongwe nchini na chenye ushawishi mkubwa kwa wananchi wake ukiangalia falsafa, mtizamo na sera za chama. Hii haina maana nilikuwa upinzani no. mm nilikuwa neutral sikuwahi kumiliki kadi ya chama wala kushiriki kazi zozote za kichama. Leo baada ya kutafakari nikaona kama kijana nahitajika pia kujenga nchi yangu kupitia chama na hasa CCM.
Ombi langu kwenu wadau naomba mnipe mwongozo na taratibu za kujiunga rasmi na Chama Cha Mapinduzi (CCM)-[Revolutionary party]
Kidumu chama cha Mapinduzi
Asanteni
ushasema huchaguliwa na wananchi so anaweza tokea chama chochote na sio lazima CCM..basically nilichanganya na watendaji wa kijiji...you know what..sijaishi sana Tanzania so sijapatapo kujua hii mifumo vizuri ya kiutawala na ndo mana niliomba mwongozo wa kujiunga na chama cha watu na chenye demokrasia ya kweliMbona mnapenda kuipa sifa sana mijitu isiyo stahili,toka lini balozi akawa mfanyakazi wa serikali?mabalozi hutokana na chama na huchaguliwa na wanachama wa chama husika sasa iweje leo wawe waajiriwa wa serikali,serikali ipi?
Nenda kamuone katibu mwenezi akupe darasa la itikadi then baada ya kushiba hizo itikadi kadi utapewa na katibu wa chama wa Tawi.
Anyway mi sio mwanachama wa chama chochote kwa sasa.
Sina shaka na afya zenu
Wakuu nimeamua kwa dhati kabisa kujiunga na chama kikongwe nchini na chenye ushawishi mkubwa kwa wananchi wake ukiangalia falsafa, mtizamo na sera za chama. Hii haina maana nilikuwa upinzani no. mm nilikuwa neutral sikuwahi kumiliki kadi ya chama wala kushiriki kazi zozote za kichama. Leo baada ya kutafakari nikaona kama kijana nahitajika pia kujenga nchi yangu kupitia chama na hasa CCM.
Ombi langu kwenu wadau naomba mnipe mwongozo na taratibu za kujiunga rasmi na Chama Cha Mapinduzi (CCM)-[Revolutionary party]
Kidumu chama cha Mapinduzi
Asanteni
Hazijapingana na hizo paragraphs content zake ni tofauti..wakati ya kwanza ikielezea falsafa na sera ya pili inaongelea utaratibu wa kujiunga na chama hii ni sawa na kusema unaijua vizuri USA ila hujui procedures za kupata visa.Naona kuna walakini hapa, yaani paragraph yako ya kwanza inaonesha umekifahamu vizuri chama, ila ya pili inapingana na hiyo ya kwanza kwa kutofahamu mwongozo na taratibu za kujiunga.
Hicho siyo kinachoimaliza ccm bali ndicho kinachoimaliza chadema. Tindu Lissu alikuwa against Lowassa tena alikuwa mstari wa mbele kumuita fisadi mkubwa but what next akapewa nafasi ya kugombea Uraisi bila hata kufuta kauli zake.Na hii ndio inaowamaliza ccm..... yaani hamuamini kma mnakoseaga kabisa yaani meck sadick leo mpiga dili kisa kajiuzuru!! Ina maana magu alipomteua kuwa mkuu wa mkoa wa kilimanjaro hakujua ni mpiga dili?? Embu jifunzeni maana ya demokrasia na uhuru wa maoni hatuwezi wote kufanana kimtazamo.
Afu hicho chama cha vurugu ni kipi??? si mkifute kwa msajili au mkawafunge jela kma wanaleta vurugu!!!! Otherwise wao wakisimimamia serikali na kuikosoa ili ijirekebishe kwani ni nia mbaya??? Mbona kubana matumizi na kupunguza safari za nje lilipigiwa kelele sana kwenye M4C na nyie mmelishughulikia au hizo ndio chuki unazozisema
Na hii ndio inaowamaliza ccm..... yaani hamuamini kma mnakoseaga kabisa yaani meck sadick leo mpiga dili kisa kajiuzuru!! Ina maana magu alipomteua kuwa mkuu wa mkoa wa kilimanjaro hakujua ni mpiga dili?? Embu jifunzeni maana ya demokrasia na uhuru wa maoni hatuwezi wote kufanana kimtazamo.