Ndera
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 653
- 548
Asante nilikuwa nahitaji taratibu au procedures sio mtu wa kunisajili...
Hata procedure atakusaidia vilevile.
Asante nilikuwa nahitaji taratibu au procedures sio mtu wa kunisajili...
Sera za chadema au cuf umezisoma!!! Kuna zingine zinatekelezeka ukiwa na serikali kuu mkuu..... hasa sera za kiuchumi na kimageuzi ya kisekta!!! Hao democarts au republicans walishapata dhamana ivyo waliziweka into practice hivyo wakieleza sera zao upya kila mtu anawaelewa hta kma wapo nje ya serikali ssa hapa kwetu ccm wamehodhi serikali miaka 50 hta kung'atuka hawataki mnategemea mtajua what chadema could do????Siasa za marekani na Afrika hazishabihiani hata kidogo. Wenzetu kila chama kinajipambanua kwa sera zake hawayumbishwi namatukio. Sisi huku ni tofauti sana. Vyama vina sera ambazo havizisimamii, zimehifadhiwa kwenye makaratasi.viongozi na wanachama hawajui sera za vyama vyao. vinahangaika na matukio na matamko.
Sina shaka na afya zenu
Wakuu nimeamua kwa dhati kabisa kujiunga na chama kikongwe nchini na chenye ushawishi mkubwa kwa wananchi wake ukiangalia falsafa, mtizamo na sera za chama. Hii haina maana nilikuwa upinzani no. mm nilikuwa neutral sikuwahi kumiliki kadi ya chama wala kushiriki kazi zozote za kichama. Leo baada ya kutafakari nikaona kama kijana nahitajika pia kujenga nchi yangu kupitia chama na hasa CCM.
Ombi langu kwenu wadau naomba mnipe mwongozo na taratibu za kujiunga rasmi na Chama Cha Mapinduzi (CCM)-[Revolutionary party]
Kidumu chama cha Mapinduzi
Asanteni
Daah.... unaamini kauli za Mbowe? Mbona alisema akishindwa uchaguzi 2015 anajang'atua. Vp mbona bado yupo? Au alishinda?Sera za chadema au cuf umezisoma!!! Kuna zingine zinatekelezeka ukiwa na serikali kuu mkuu..... hasa sera za kiuchumi na kimageuzi ya kisekta!!! Hao democarts au republicans walishapata dhamana ivyo waliziweka into practice hivyo wakieleza sera zao upya kila mtu anawaelewa hta kma wapo nje ya serikali ssa hapa kwetu ccm wamehodhi serikali miaka 50 hta kung'atuka hawataki mnategemea mtajua what chadema could do????
Ndio maana kuna kipindi mbowe alisema chadema wakipewa miaka 5 tu wakiharibu basi vyama vingi vifutwe na ccm irudishwe madarakani
Of course aking'atuka itakuwa inaprove kuwa matokeo ya NEC yalikuwa ya kweli kitu ambacho kitanishangaza hta mmi maana watu tulilinda kura tukaishia kupigwa virungu mabomu na wakatoka walipotoka na fomu zao kuonyesha ccm ndio ameshinda then leo hii confidently niskie mbowe anakubali matokeo ntajiuzulu siasa tu.Daah.... unaamini kauli za Mbowe? Mbona alisema akishindwa uchaguzi 2015 anajang'atua. Vp mbona bado yupo? Au alishinda?
Karibu sana mwenzetu!
Nenda kwa katibu wa CCM wa tawi lako (Mahali unapoishi) ,nenda na picha (passport), kama hakuna mabadiliko kadi shilingi 300,000 na ada ya mwezi shilingi mia moja (100,000) Jumla elfu moja mia tano tu (1,500). Chama pia kina Jumuiya zake (Vijana-UVCCM, Wanawake -UWT na Wazazi) unaweza kujiunga nazo kutegemea umri na jinsia yako. Kuna vitabu mbalimbali kama Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2015-2020, mwelekeo wa Sera za CCM miaka ya 90, Kanuni za Uchaguzi za CCM, Mwongozo wa CCM wa 1971, 1981, hotuba za viongozi nk.Karibu sana! Hayo yote utajulishwa na katibu wa tawi na vitabu vingine utavipata duka la Vitabu Dodoma au Ofisi ndogo za makao makuu Dsm na Zanzibar.

Sijawahi kutamani kuwa ccm.
Kila la kheri
Kweli hii kazi... Umesahau mbowe alituambia wkt wa kampeni kuwa ccm wamezoea kuiba kura sasa amepatikana jembe lowasa &co wanaojua janja ya ccm tusiwe na shaka? Pia lowasa alisema hakuna atakae iba kura, tukipiga kula tukalale sasa huo unaoita uwizi ulitokea wapi? Asiye kubali kushindwa........Of course aking'atuka itakuwa inaprove kuwa matokeo ya NEC yalikuwa ya kweli kitu ambacho kitanishangaza hta mmi maana watu tulilinda kura tukaishia kupigwa virungu mabomu na wakatoka walipotoka na fomu zao kuonyesha ccm ndio ameshinda then leo hii confidently niskie mbowe anakubali matokeo ntajiuzulu siasa tu.
Angeng'atuka pale uchaguzi unapokuwa huru na haki na ameanguka kweli sio kwa ujanja ujanja wa ccm kwenye kuchakachua!!!
Sina shaka na afya zenu
Wakuu nimeamua kwa dhati kabisa kujiunga na chama kikongwe nchini na chenye ushawishi mkubwa kwa wananchi wake ukiangalia falsafa, mtizamo na sera za chama. Hii haina maana nilikuwa upinzani no. mm nilikuwa neutral sikuwahi kumiliki kadi ya chama wala kushiriki kazi zozote za kichama. Leo baada ya kutafakari nikaona kama kijana nahitajika pia kujenga nchi yangu kupitia chama na hasa CCM.
Ombi langu kwenu wadau naomba mnipe mwongozo na taratibu za kujiunga rasmi na Chama Cha Mapinduzi (CCM)-[Revolutionary party]
Kidumu chama cha Mapinduzi
Asanteni
Sina shaka na afya zenu
Wakuu nimeamua kwa dhati kabisa kujiunga na chama kikongwe nchini na chenye ushawishi mkubwa kwa wananchi wake ukiangalia falsafa, mtizamo na sera za chama. Hii haina maana nilikuwa upinzani no. mm nilikuwa neutral sikuwahi kumiliki kadi ya chama wala kushiriki kazi zozote za kichama. Leo baada ya kutafakari nikaona kama kijana nahitajika pia kujenga nchi yangu kupitia chama na hasa CCM.
Ombi langu kwenu wadau naomba mnipe mwongozo na taratibu za kujiunga rasmi na Chama Cha Mapinduzi (CCM)-[Revolutionary party]
Kidumu chama cha Mapinduzi
Asanteni
Muone Mwenyekiti wa chama wa mtaa huko unako ishi atakusaidia zaidi ukipata nafasi Tembelea Lumumba hapo utakutana na katibu mwenezi wa chamaSina shaka na afya zenu
Wakuu nimeamua kwa dhati kabisa kujiunga na chama kikongwe nchini na chenye ushawishi mkubwa kwa wananchi wake ukiangalia falsafa, mtizamo na sera za chama. Hii haina maana nilikuwa upinzani no. mm nilikuwa neutral sikuwahi kumiliki kadi ya chama wala kushiriki kazi zozote za kichama. Leo baada ya kutafakari nikaona kama kijana nahitajika pia kujenga nchi yangu kupitia chama na hasa CCM.
Ombi langu kwenu wadau naomba mnipe mwongozo na taratibu za kujiunga rasmi na Chama Cha Mapinduzi (CCM)-[Revolutionary party]
Kidumu chama cha Mapinduzi
Asanteni
Mkuu u know very well ccm hta ukiwazidi kwenye kuiba kura wanafuta matokeo ryt?? Uliona halmashauri ya kinondoni pia uliona tanga uliona na zenji yaani wana back up ya dola nzima hapo nikubali tulizidiwa kete!!! Lowasa alijiamini coz alikuwa na watu loyal ndani ya serikali na tume kma wakina engineer natty wa kinondoni (aliyetangaza majimbo yote mannne ya kinondoni yameenda ukawa )waliohakikisha kura zake haziibiwa hta chembe but kikwete alilijua hili na alhamisi kabla ya uchaguzi akafanya reshuffle kubwa NEC kwa kuweka watu wapya walio loyal kwake na jinsi flow of communication itakavyokuwa!! (Ukitaka kuona hili baada ya uchaguzi ccm imetimua wakurugenzi wengi na hta makada wa ccm walioonekana kuwa loyal kwa lowassa wakati wa uchaguzi na kupelekea ccm kuanguka ) hii ndio ilikuaa pigo kwa lowassa otherwise kma angeshinda bado wangefuta matokeo so its all the same kuwa CCM haitoki kwa makaratasi!!!!!Kweli hii kazi... Umesahau mbowe alituambia wkt wa kampeni kuwa ccm wamezoea kuiba kura sasa amepatikana jembe lowasa &co wanaojua janja ya ccm tusiwe na shaka? Pia lowasa alisema hakuna atakae iba kura, tukipiga kula tukalale sasa huo unaoita uwizi ulitokea wapi? Asiye kubali kushindwa........
Ukiiga uwe unasoma vema na si kukariri......usahihi ni kuwa ''watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa''..haya nenda kanyonyeshe mtoto hili baraza la wazee.Wakati wanaoijua vizuri ccm kama Kinana wanatafuta njia ya kusepa wewe kula kulala eti unauliza uingilie mlango gani! Hakika yale maneno "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa" Mungu aliyatamka kwa makusudi kabisa nawe umetudhihirishia.