Msaada: Kuikabili HANGOVER Jumatatu!

wapi B kufanya makatazo????
hapana, mimi sicheat wala B hacheat
watakatifu in the making!!!!!!!!!!!!!!!!!
lolz!
Watakatifu wa mila zetu.............:target:
 
Geoff mtoto wa watu bado bikira, usimtie majaribuni tafadhali...!!!
Hahahahaha! Hapa nimecheka kwa sauti, how did you know kiongozi?

Anyway, sorry, nimesahau kuwa kuna wataalam wa kusoma katikati ya lines.
 
Hahahahaha! Hapa nimecheka kwa sauti, how did you know kiongozi?

Anyway, sorry, nimesahau kuwa kuna wataalam wa kusoma katikati ya lines.

Mkuu, alisema mwenyewe kwenye ile topic ya carmel ya kutaka watu watubu kama wameshatembea nje ya ndoa au na mke/mume wa mtu.
 
Nina uzoefu mkubwa wa kudesa mpaka bht kakataa kata kata kusoma darasa moja na mimi atiii!

Nimeona umenigongea SENKSI kubwa sana pale juu!
afu huyo bht mwangalie sana asee.

Anaweza kuwa mwanachama wa Carmel!
 
nipeni ruhusa niwe nacheka tuuuuuuuuuuuu bila kukoment kitu wapendwa wa moyo wangu lol!!!!!!!!!!!!
 
Kwani carmel ana chama gani? Mwenzenu mie ''slow-learner''.

chama lake balaa ni la watu ambao hawajawahi kucheat iwe kwen BF/Gf au kwen ndoa kabisa hujaona sredi yake mpwa? ka do ze nidiful actually kuna poll inaendelea lol

bht popote ulipo utoke ama nikufate mwenyewe uko ndani?
 
Ni kweli kizuri unakula na wenzio....siku mojamoja si mbaya jamani....
Tatizo lako uko ki- THEORY zaidi. Sasa mbona hujajibu PM yangu?

nipeni ruhusa niwe nacheka tuuuuuuuuuuuu bila kukoment kitu wapendwa wa moyo wangu lol!!!!!!!!!!!!
Sasa sio unacheka tu halafu unasahau kale kakitu ketu! LOLZ!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom