Msaada: Kuikabili HANGOVER Jumatatu!

he he hee,mi nishalamba zote mlizoweka majina hapa,sasa hivi nakula bolingo"purkututu mame aah mee lober"beloo beloo ah beloo be,mambo ya titanike.raha tupu.

ale makaba mupeeee,maboko likolooo,yunganaeee yunganaee kati yoobana kolela mavugile leloo mavugile yooo.olingiokoto yaovele okuto singi.mazee nimejaribu tuu rap ya tutu kaludji.nani alikuwerpo kipindi ile kilimanjaro hotel wakati wenge inachapa mambo pale pool side?tukumbushane
 
Last edited by a moderator:
Zote walizo kwambia ni kweli lakini ukweli harisi wa kukabili hizo hangover ni huu......ukirudi toka kupombeka usiruhusu fan wala Ac ikupepee wakati ukiwa umelala....jifunike gubi gubi tena kama unashuka nzito itakuwa pouwa..mimi huwa napiga push up jasho linauwezo wa kutoa amount kubwa ya bia kuliko kitu chochote...chukulia mfano ukiwa unakunywa huku unacheza muziki kwa mzux umeshaona ukilewa thats wht am talking abot...
 
Ni hivi:

Jumamosi hii mdogo wangu atakuwa anaoa. Harusi itakuwa na bia za kutosha.

Jumapili mpwa wangu anapata komunyo ya kwanza. Kutakuwa na bia za kufa mtu.

Jumatatu ni mwisho wa mwezi, maripoti kibao.

Kuna mtu yeyote anajua dawa ya kuikabili HANGOVER ili jumatatu nisihatarishe uhai wa kibarua changu? ANGALIZO: Dawa hiyo isihusiane na kuacha kunywa bia siku hizo mbili wala vidonge vitakavyonilazimisha nisinywe bia jumatatu jioni baada ya kazi ngumu.

Wakati nikiwaombeni mniombee jumatatu inikute mzima, :glasses-nerdy:Mimi nawatakieni wikiendi njema.
Mhe Xpin jibu langu lilikuwa hapo kwenye red ila kwakuwa umeshakataa basi tena.
 
Chrispin lol leo ni jtatu bado tu unakunywa ?
2981039.jpg
 
ACHA TU NDUGU YANGU!
hahahahahaha!
WE ACHA TU

INFIDELITY HOYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
 
ni hivi:

Jumamosi hii mdogo wangu atakuwa anaoa. Harusi itakuwa na bia za kutosha.

Jumapili mpwa wangu anapata komunyo ya kwanza. Kutakuwa na bia za kufa mtu.

Jumatatu ni mwisho wa mwezi, maripoti kibao.

Kuna mtu yeyote anajua dawa ya kuikabili hangover ili jumatatu nisihatarishe uhai wa kibarua changu? Angalizo: Dawa hiyo isihusiane na kuacha kunywa bia siku hizo mbili wala vidonge vitakavyonilazimisha nisinywe bia jumatatu jioni baada ya kazi ngumu.

Wakati nikiwaombeni mniombee jumatatu inikute mzima, :glasses-nerdy:mimi nawatakieni wikiendi njema.

dawa ni ndizi za kuiva(tunda) , matango na maji mengi kabla hujalala.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom