Msaada kuhusu zuku

warumi

JF-Expert Member
May 6, 2013
15,355
2,000
Habarini wakuu?? Nina tatizo kidogo apa, jana nilinunua kingamuzi cha zuku, nikalipa na wakaja mpaka home wakafunga fresh, ila station zikawa hazipatikani wakatuambia baada ya mda zitakuwa hewani, toka jana mchana had sasa ivi hakuna station ninayoipata, jana niliwauliza wakasema sijui wametuma email kenya so nisubir tu had waniungashie, mpaka sasa iv ninavyoongea hakuna cha channel wala nn, je izi ndo taratibu za zuku au vip?? Maana siwaelewi
 
Ilisolokobwe

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
1,797

mkuu yawezekana fundi dish lilimuona.kama ulimlipa jua umeshaibiwa tayari .tafuta fundi mzuri aset hilo dish vizuri na ninakifahamu ktk ving'amuzi vyote zuku huwa haisumbui
 
warumi

JF-Expert Member
May 6, 2013
15,355
2,000
mkuu yawezekana fundi dish lilimuona.kama ulimlipa jua umeshaibiwa tayari .tafuta fundi mzuri aset hilo dish vizuri na ninakifahamu ktk ving'amuzi vyote zuku huwa haisumbui

YAAN kila kitu tayar kasha set na channel zinapatikana tatu tu tena zinaonyesha vizur bila kukwama,ila ndo hvyo nyingine hazionyesh ukiwapigia wanakwambia mar sijui wanaunganisha soon maana wanadai account inasajiliw nairob ,mpaka sasa iv hamna kitu ,maana wanasema kuna kifurush cha zuku classic unapewa bure mwka mzima ila mpaka sasa hakuna kitu
 
Ilisolokobwe

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
1,797
2,000
YAAN kila kitu tayar kasha set na channel zinapatikana tatu tu tena zinaonyesha vizur bila kukwama,ila ndo hvyo nyingine hazionyesh ukiwapigia wanakwambia mar sijui wanaunganisha soon maana wanadai account inasajiliw nairob ,mpaka sasa iv hamna kitu ,maana wanasema kuna kifurush cha zuku classic unapewa bure mwka mzima ila mpaka sasa hakuna kitu
basi kama hivyo kuwa na subira watafungua ila kwa kweli zuku hawawajali wateja kabisa.bora ungenunua azam
 
Murano

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
2,062
2,000
ndo utaratibu wao mkuu ni lazima wawasiliane na makao makuu yao huko ulaya then ndo akaunt yako iwe confirmed.. sasa wapigie kwa namba hii kisha uwatajie akaunt namba yako
+255768984200
 
warumi

JF-Expert Member
May 6, 2013
15,355
2,000
ndo utaratibu wao mkuu ni lazima wawasiliane na makao makuu yao huko ulaya then ndo akaunt yako iwe confirmed.. sasa wapigie kwa namba hii kisha uwatajie akaunt namba yako
+255768984200

YAAN apa mkuu hata acount sina ndo nimeongea na customer service wa zuku, wakaniambia niwatajie serial no ,nikawapa wakasema kuna nakala sijui inabid nichukue kwa wakala then niwatumie wenyew ndo wanifungulie, sasa nampigia huyu wakala anajizigusha hata simuelew
 
warumi

JF-Expert Member
May 6, 2013
15,355
2,000
basi kama hivyo kuwa na subira watafungua ila kwa kweli zuku hawawajali wateja kabisa.bora ungenunua azam

Napenda zuku kwa kuwa wana programs nzur kwa kweli, ukiachana na dstv mm kwangu zungu ndo inafuata, ila wanazingua sana
 
Murano

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
2,062
2,000
huyo wakala si alikupa risiti pamoja na akaunti namba? kama hakukupa basi alifanya makosa maana anatakiwa aondoke akiwa ameshakupa akaunti namba yako utayotumia kulipia mkuu
 
sir joshua

JF-Expert Member
May 21, 2013
479
225
usihofu mkuu watafungua tu kumbuka umefunga jana hlo dish na jana na leo ofs nying zimefungwa so cheki nao kesho bila shaka mambo yatakua sawa hata mimi nilifunga dish la zuku cku 3 za kwanza mambo yalikua kama kwako baada ya kuwasiliana kwa muda chanel zikaja zote.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom