Hujasema ulipi.
Kama uko makumbusho panda magari ya MAKUMBUSHO-POSTA au MAKUMBUSHO-STESHENI yenye mkanda wa blue bahari (usipande ya dhambarau yatakupitisha ALLY HASSAN ROAD.
Ukifika kinondoni makaburini kama umetokea makumbusho, mwambie konda msaada hapo mbele bank mpya, atakuacha. Pale pana makao makuu ya ECOBANK, FBME BANK MFILISI, TADB nk.
Je, nimekusaidia?