Msaada kuhusu window 11

Nimeona website yao wanaanza na gen 8 kwa upande wa intel Windows Processor Requirements Windows 11 Supported Intel Processors

Nimesikia may be wakashusha hadi 6 gen kama wakiona inarun vizuri.
 
Chief naomba link iliniweze kuipakua windows 11
Jiunge na insider kwenye pc yako Hakikisha una secure boot na free storage gb 64, watakuletea update wenyewe.

Sema haipo stable usiweke kwenye computer ambayo ni ya kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…