Msaada kuhusu window 11

Dhumuni la hawa jamaa kuleta specs hizi hasa ni lipi.
Hata windows 10 hizi mpya recommended specs ni Gen ya 8 lakini haimaaanishi kwamba hazitarun kwenye vifaa vyengine.

Ni muda wa waandishi wa habari kupata views kwa kutisha Tisha watu, watu walalamike, comments ziongezeke etc.

Tusubiri itoke hio win 11 ila kwa uelewa wangu itaingia machine yoyote hadi za core 2 duo, watakuonya tu kama pc haijakidhi vigezo.
 
Mkuuu hili la bios na uefi naona litatukwamisha wengi au wasemaje chief
 
ᵘᵏⁱʷᵃ ᵇᵉᵗᵃ ᵗᵉᵃᵐ ᵘⁿᵃᵖᵉʷᵃ ᵘᵗᵉˢᵗ
 
Mkuuu hili la bios na uefi naona litatukwamisha wengi au wasemaje chief
Update washaiachia hewani, yangu sasa hivi nimeiconvert ilikuwa legacy imekuja Uefi.

Ingia kwenye bios nenda kwenye boot something cms utaona Kuna option ya legacy na uefi, chagua Uefi.

Pc ikikataa kuwaka means windows yako ipo legacy convert toka mbr kwenda gpt itakubali.

Tutorial hii hapa
 
PC yangu haina TPM 2. Inasema haitarun.
 
PC yangu haina TPM 2. Inasema haitarun.

Wamesema TPM 2.0 na Secure boot ni lazima kwenye official release ya October. Kwa sasa hizi Insider Preview hawatacheki TPM 2.0 wala Generation ya CPU yako hvyo unaweza install kwenye PC yako as long as ipo kwenye UEFI mode.
 
Haya ma-window nayo haya mwishowe yatafika hadi 10000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…