Revola
JF-Expert Member
- Apr 14, 2015
- 1,542
- 1,365
Wakuu habarini za mchana, moja kwa moja kwenye shida yangu, juzi niliweka simu yangu mfukoni nikakuta imejibonyeza bonyeza na hasa kwenye WhatsApp, sasa shida ni moja tu imestak yani nikiwasha data messages haiziingii kana kwamba data nimezima wakati ipo on. App zingine nikiwasha data zinafanya kazi kama kawaida sasa sijajua nimeswitch off kitu gani please wataalamu msaada ktk hili