Msaada kuhusu vazi la taifa

madangwa

Member
Joined
Aug 20, 2009
Posts
8
Reaction score
0
Salaam waugwana!

Mimi ni kijana wa Kitanzania ambae bado sijaelewa mchakato mzima wa utafutaji wa vazi la taifa toka ulipoanza, ulipopita na unapoelekea... Hivi hili vazi la Taifa likoje? Na umuhimu wake ni nini? Nani ni mhusika katika hili? Litakuwa linapatikana wapi? Litauzwa ama kugawiwa bure? Nani ataruhusiwa kulivaa na nani hatoruhusiwa?

Naombeni msaada wenu bandugu maana sielewi...

Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
Kwani huo mchakato bado unaendelea kumbe....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…