The Conscious
JF-Expert Member
- Mar 18, 2021
- 460
- 701
Wakuu habari za majukumu.
Tafadhali kwa anayefahamu utaratibu wa kufunga ndoa ya Kiserikali naomba anieleweshe
Gharama zake zipoje na ni vitu gani vinahitajika ili niweze kufanikisha
Ninachohitaji zaidi ni cheti cha ndoa kama kuna member anafahamu utaratibu mwingine wa kupata cheti cha ndoa nje ya utaratibu wa kidini tafadhali naomba anisaidie kunielewesha