jov
Senior Member
- Aug 20, 2012
- 121
- 9
Wadau Naombeni masaada napitia chamgamoto katika kufanya maombi ya kujiunga na mwaka Wa masomo 2018/19 nimefungua account vizuri hadi nikalipa pesa ya maombiTsh 10,000/_ kupitia vodacom na nikajuzwa malipo kupokelewa ,Sasa shida ni kwamba zile stages zote zinazofuata hazifunguki ,Ila ya mwisho tu ya preview iko active ,zingine zote ziko inactive,hivyo nashindwa kuendelea na maombi,Msaada tafadhari kwa mwenye kujua/kakutana na case kama hiyo.