Msaada kuhusu tecno phantom z mini

Msaada kuhusu tecno phantom z mini

ham ha

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2013
Posts
283
Reaction score
48
Habari wakuu, simu yangu inatatizo la inastack halafu screen inakua na mwanga wakijani, baada ya mda inakua black mpaka betri iishe ndo inawaka tena kawaida...tatizo itakua nn msaada tafadhali. Betri yake ipo ndani kuichomoa ni tatzo betri yake ni built in... kuizima ni mpaka betri iishe nikicharge ndo inawaka kawaida
 
Wataalamu hamna anaefahamu bado inanisumbua
 
Tecno Phantom Z haina external memory. Swip home screen kuna option mbili "Notifications na "switch" nenda switch na zima "low power" na "ultra power". Hii simu pia inawaka taratibu. Ikisumbua zaidi screen shot alf nitumie whatsapp km itawezekana nione inavyoonesha. Kwa msaada zaidi 0717008771
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom