tafuta file manager ndani ya simu yako halafu fungua utaletewa mafolder ya simu shuka chini hadi uone folder limeandikwa whatsapp ingia humo kisha ingia media kisha ingia whatsapp video kisha utaona folder limeandikwa sent ingia humo futa video zote, kama unatuma sana video utapata nafasi ya kutosha.
kama bado nenda gallery kafute video ulizotumiwa au kuchukua na camera, alternative kama bado unazitaka zi cut au zi move kwenda sd card.