Msaada kuhusu tangazo la simu feki kufungiwa.

Msaada kuhusu tangazo la simu feki kufungiwa.

Swali la kizushi:

Simu nyingi fake ni zile zinatumia Os ya Android, na kwakuwa inawezekana kubadili imei kwenye Android

Je nikibadili imei ya samsung fake na kuweka imei ya simu original itakuaje?

Hapo sasa ngoja wataalam wajee
 
Swali la kizushi:

Simu nyingi fake ni zile zinatumia Os ya Android, na kwakuwa inawezekana kubadili imei kwenye Android

Je nikibadili imei ya samsung fake na kuweka imei ya simu original itakuaje?
Iko hivi;-
Kila simu ina IME yake..ukibadili namba ukaweka nyingine hiyo nyingine lazima itakuwa na mtu anayeitumia..sasa siku akiibiwa simu halafu wakazima hiyo simu yake jua kwamba hata yako itakuwa imezimwa automatically
 
Swali la kizushi:

Simu nyingi fake ni zile zinatumia Os ya Android, na kwakuwa inawezekana kubadili imei kwenye Android

Je nikibadili imei ya samsung fake na kuweka imei ya simu original itakuaje?

Sina uhakika ila kuna uwezekano mkubwa hudakwi. Nchi za wenzetu kubadili imei ni kosa la jinai sababu unaweza kuwa mtu mwengine kwenye macho ya serikali.
 
Kwani mitandao ya simu haina uwezo wa kutambua kwamba model ya simu hailingani na IMEI waliyonayo? Kwamba TCRA hawawezi kugundua IMEI kama ziko mbili?

BTW: Nilimsikiliza msemaji wa TCRA leo asubuhi, anasema ni kosa la jinai kubadili IMEI ama kuflash simu...


Sina uhakika ila kuna uwezekano mkubwa hudakwi. Nchi za wenzetu kubadili imei ni kosa la jinai sababu unaweza kuwa mtu mwengine kwenye macho ya serikali.
 
jina la kampunj - brand ya simu (model namba) - kama imei haioani na simu yako wasiliana na muuzaji. Usipoweza,ibadilishe kabla ya juni 2016 kwani yaweza kuwa bandia
so kama inaowana na simu yako ni sawa sio fake au
 
Kwani mitandao ya simu haina uwezo wa kutambua kwamba model ya simu hailingani na IMEI waliyonayo? Kwamba TCRA hawawezi kugundua IMEI kama ziko mbili?

BTW: Nilimsikiliza msemaji wa TCRA leo asubuhi, anasema ni kosa la jinai kubadili IMEI ama kuflash simu...

Sina uhakika hapa pia kuhusu mitambo yao ipoje. Naweza kubadili imei ya galaxy s3 then nikaeka imei nyengine ya galaxy s3. Watajuaje kwamba nimebadili?

Kupata imei ya simu fulani ni rahisi kabisa just tembelea thread za ku unlock simu utakuta zinatumwa waziwazi.

Pia kuna vifaa kama box vya kuflashia simu vimeshakuwa pre configured kufanya kazi kama hizi.
 
Jina la kampunj - Brand ya simu (Model namba) - Kama IMEI haioani na simu yako wasiliana na muuzaji. Usipoweza,ibadilishe kabla ya Juni 2016 kwani yaweza kuwa BANDIA

Aisee samaahn, hivi unabadilisha vipi, nimecheki Simu hapa kuangalia IMEI nimekuta neno INVALID
 
Mm nimerudishiwa hii baada ya kutuma IMEI


Research in Motion, Ltd. - BlackBerry 9900 - Kama IMEI haioani na simu yako wasiliana na muuzaji. Usipoweza,ibadilishe kabla ya Juni 2016 kwani yaweza kuwa BAND
 
Nakupata Chifu,
Labda ni kwamba wanaofanya kazi ya kubadili IMEI watakua na kazi ya ziada...kupata 'matching' imei....

Sina uhakika hapa pia kuhusu mitambo yao ipoje. Naweza kubadili imei ya galaxy s3 then nikaeka imei nyengine ya galaxy s3. Watajuaje kwamba nimebadili?

Kupata imei ya simu fulani ni rahisi kabisa just tembelea thread za ku unlock simu utakuta zinatumwa waziwazi.

Pia kuna vifaa kama box vya kuflashia simu vimeshakuwa pre configured kufanya kazi kama hizi.
 
Mimi nilinunua simu ya Huawei kutoka tigo mwaka jana,nimeangalia IMEI hazioani,...warranty time imeshaisha tokea jumapili iliyopita
je nifanyaje?
 
Hii imekaaje mi nina tecno C8 ambayo kampuni ipo hapa nchini na tv zinaitangaza,mbona mwaka kidogo tu wamemtumbua ,basi suala hili lianzie kusearch maduka yote ya simu kariakoo na makao makuu dada ya kampuni hizi yaliyoko nchini,kisha wale wote walionunua waonyeshe risiti wawe refunded ,jamani mtutumbue na ganzi
 
SWALI LA KIZUSHI
kuna simu ni double line ambazo nyingi zina IMEI mbili je hizi nazo unaangaliaje kujua kama ni original
na je incase ikipotea unapeleka ipi ili ifungiwe
 
Back
Top Bottom