Msaada kuhusu Suzuki Grand Escudo S-Edition ya 2002

Kisiwa

Senior Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
127
Reaction score
20
Wakuu, heshima kwenu
Hii gari nimeitamani sana na nilikuwa nimefikia hatua ya kuilipia maana invoice tayari wamenitumia. Ni kupitia tradecarview
Katika kupitia kwenye mitandao, kuna maoni tofauti tofauti wengine wakisema ni gari nzuri huku wengine wakiiponda na kusema ni laini mno na zinachoka haraka
Naomba wenye uzoefu wanisaidie mapungufu makubwa ya aina hii ya gari na faida pia. Ina cc 2700 na km 98000. Matumizi yangu ni mjini mara nyingina labda mara moja sana kwa mwaka kwenda kijijini
Naombeni msaada ndugu zangu
 
Attachments

  • 03s.jpg
    03s.jpg
    3.3 KB · Views: 266
  • 04s.jpg
    04s.jpg
    3.4 KB · Views: 271
cc 2700 duh jiandae na pesa za mafuta za kutosha tu
 
Unataka maoni au msaada, au msaada na maoni? Kama ni msaada eleza shida yako unayoona ipo kwenye hiyo gari; kuhusu maoni ya kwamba gari hiyo ni nzuri au la! naweza kukuambia kuwa uzuri wa kitu/jambo unategemea mtazamo wako na sababu zako binafsi kukihusu.

Kabla hujaamua kununua hiyo gari angalia fanya ulinganifu kwa magari mengine ndio uone ipi ni nzuri na una kiasi gani cha pesa ya kununua gari hiyo.
 
Njia rahisi ya kujua uzuri au ubaya wa hiyo gari ni kuangalia kupitia kwenye mitandao.
Wateja huwa wanaweka comments mbalimbali kuhusiana na gari husika.
 
Niwekee link mkuu
 
Wakuu, heshima kwenu
Hii gari nimeitamani sana na nilikuwa nimefikia hatua ya kuilipia maana invoice tayari wamenitumia. Ni kupitia tradecarview
Katika kupitia kwenye mitandao, kuna maoni tofauti tofauti wengine wakisema ni gari nzuri huku wengine wakiiponda na kusema ni laini mno na zinachoka haraka
Naomba wenye uzoefu wanisaidie mapungufu makubwa ya aina hii ya gari na faida pia. Ina cc 2700 na km 98000. Matumizi yangu ni mjini mara nyingina labda mara moja sana kwa mwaka kwenda kijijini
Naombeni msaada ndugu zangu

Kumiliki gari sio masifa au anasa, kama unataka kununua gari kwa mara ya kwanza, lazima ujiulize kwa nini unataka gari, je kwaajili ya kukoga wenzio? au kwaajili ya Totoz? au kwasababu jirani yako nae kanunua gari? je nikwaajili ya kukurahiishia kufika kazini au kwenye biashara yako na kurahisisha shughuli ndogo ndogo za hapa na pale?

Mazingira unayo kaa pia yakuangalia ( barabara). Pia ujue kuwa kuna service, kubadili tires, Mafuta, na dharura za barabarani.
 
Umetoka nje kabisa ya mada
 
Nimekusoma. Haya nisaidie basi angalau jinsi ya kujua gari kama ni 4 cylinder au 6 cylinder kwa kuangalia picha mtandaoni. Hili nadhani liko direct
 
Back
Top Bottom