Msaada kuhusu specification za tablets.

Msaada kuhusu specification za tablets.

mkwawa1

Member
Joined
May 2, 2014
Posts
58
Reaction score
16
Habari za weekend wadau.
nataka kununua tablet kwa online shopping,lakin nakuwa na hofu juu ya baadhi ya sifa za vifaa hivyo ambazo zitaifanya ikifika hapa kwetu(Tanzania) isifanye kazi kama ilivyokusudiwa.mfano nilipitia post fulan baadh ya wana jf wameshauri kuwa,zile zenye cjui GSM network,hapa kwetu hazifanyi kazi.
naomba msaada wenu wakuu,kwa wale wenye utaalamu na hivi vitu.
natanguliza shukrani kwenu.asante.
 
Kabla hujafanya manunuzi angalia specification kwanza kwenye internet.
 
Back
Top Bottom