Agiza display onlineWanandugu nilikuwa naomba msaada nimekuwa na simu hii kwa muda wa mwaka sasa tatizo simu ilivunjika touch yake ikawa haifanyi kazi nimejitahidi kutafuta touch yake hapa kariakoo imeshindikana kila duka linakuwa halina na nimejitahidi kuwaagiza wenye duka lakini nikaishia kutapeliwa
Kwa sasa imepita muda wa mwaka na nusu ipo tuu nataka data zangu zilizomo humo kuna call recordings zangu muhimu na licha zangu
Nimejitahidi kuconnect na computer haisomi chochote nikaambiwa usb debuging sijui iko on sasa kwa mwenye utaalam wa jinsi gani nitafanya nipate hizo data zangu
Tafadhali bandugu tusaidizane
Mkuu z2a na z2 ni aina mbili tofautiMbona display screen zipo kila mahali...Mimi Z2 yangu ilipasuka nikiwa Arusha..chap nikapata mpya kwa 120,000 ...nilikuwa sijahamisha data zangu za muhimi .nikahamisha fasta kwenye drpo box na Gmail acc yangu
Tafta ebay au alibaba mkuuMkuu sina uzoefu wa kuagiza online nifanyeje?
Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
Mtafute Mwl.RCT yuko humu atakusaidiaNdg nitaanzaje wakati sijui alif wala bee ya kuuagiza
Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
Mkuu nisaidie nimpateUzuri wa huyo Fundi ni ostadhi mcha Mungu haswa. Akikuwekea hiyo touch then isisome basi anakurudishia pesa yako yote na anakupa risiti kiasi kwamba kama ikitokea case mufikishane palipo mkono wa sheria. Njoo PM nikusaidie. Hutajutia tena.
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Mbona signature yako hapa jf inaonesha unatumia d6503 na sio uliondika wewe.Wanandugu nilikuwa naomba msaada nimekuwa na simu hii kwa muda wa mwaka sasa tatizo simu ilivunjika touch yake ikawa haifanyi kazi nimejitahidi kutafuta touch yake hapa kariakoo imeshindikana kila duka linakuwa halina na nimejitahidi kuwaagiza wenye duka lakini nikaishia kutapeliwa
Kwa sasa imepita muda wa mwaka na nusu ipo tuu nataka data zangu zilizomo humo kuna call recordings zangu muhimu na licha zangu
Nimejitahidi kuconnect na computer haisomi chochote nikaambiwa usb debuging sijui iko on sasa kwa mwenye utaalam wa jinsi gani nitafanya nipate hizo data zangu
Tafadhali bandugu tusaidizane
Sa ataitumiaje wakati keshaandika kuwa imepasuka display, hii inaonyesha atakuwa anatumia simu nyingineMbona signature yako hapa jf inaonesha unatumia d6503 na sio uliondika wewe.
Agiza mzigo Ebay au aliexpress au peleka simu yako kwa Mr Sele Chimuke Mtaa wa Samora atakufanyia fresh ila bei zake ni kisuMkuu z2a na z2 ni aina mbili tofauti
Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
Anaagiza na kufix au anazo spear zote???Agiza mzigo Ebay au aliexpress au peleka simu yako kwa Mr Sele Chimuke Mtaa wa Samora atakufanyia fresh ila bei zake ni kisu
Hii ambayo nimetumia ku commentMkuu nisaidie nimpate
Toleo gani la xperia ulibadilisha?
Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
Njoo inboxWanandugu nilikuwa naomba msaada nimekuwa na simu hii kwa muda wa mwaka sasa tatizo simu ilivunjika touch yake ikawa haifanyi kazi nimejitahidi kutafuta touch yake hapa kariakoo imeshindikana kila duka linakuwa halina na nimejitahidi kuwaagiza wenye duka lakini nikaishia kutapeliwa