korokwincho
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 1,071
- 1,317
Duuuh asante sana mkuu, na hapo nilitaka kutafuta na yamaha tower speakers kila moja inapeleka 145 watts rms, ziwe 2 na av receiver ya denon ya watss 600 ambayo ni 7 channels, inatoa 170 watts per channel, then sound processer pamoja na amplifier/ booster ya watss 700, nafikiri hapo shughuli itakuwa imeishaHuko umeenda mbali ..punguza chukua pioneer ya 400w rms , 1400w peak hii ni 130k inaeza shuka had 120k box ni elf 90 wao wakiuza jumla ni laki mbili na nusu ukiunga unga bei inashuka
Hio nayo ni hatari haichagui sehemu hata ukiweka nje utafurahi ndan ndo kabisa sio lazima uitege eti kwenye kona ukutani[emoji16]
Hebu cheki bei hyo hao jamaa wanavyokomoa daaaahHometheatre lazma iwe na channels tofauti ikiwemo centre channel. Home theatres nyingi huanzia 5.1!
2.1 channel systems hizo huitwa stereo. Ziko toka enzi za mwalimu. Actually ni Hi-Fi Systems zilizowekewa dedicated Low frequency channel.
Hometheatre lazma iwe na channels tofauti ikiwemo centre channel. Home theatres nyingi huanzia 5.1!
2.1 channel systems hizo huitwa stereo. Ziko toka enzi za mwalimu. Actually ni Hi-Fi Systems zilizowekewa dedicated Low frequency channel.
Hebu cheki bei hyo hao jamaa wanavyokomoa daaaahView attachment 1567809
Duuuh asante sana mkuu, na hapo nilitaka kutafuta na yamaha tower speakers kila moja inapeleka 145 watts rms, ziwe 2 na av receiver ya denon ya watss 600 ambayo ni 7 channels, inatoa 170 watts per channel, then sound processer pamoja na amplifier/ booster ya watss 700, nafikiri hapo shughuli itakuwa imeisha
Duuuuh asante sana mkuu ngoja nicheki itakuwaje, safari hii lazima wanipeleke serikali za mtaa kunishtaki, hakuna namnaHata zile 6*9 coexial ..ni hatari sana zile mbili tu za watts 80rms ni kama laki na nusu na box zake
Pioneer wanayo amp 4ch full bridgeable pia inatoa 100w × 4 pia ni nzuri sana ile ndo ingelisha channel zako kadhaa kisha mono yao ile ya watts 800 model imenitoka hadi nicheki kazi ingeisha hapo
Au unaeza tafuta amp 4ch channel ukasukumia midrange na twita thenchannel zingne ziwe bridged kw ajili ya sub hapo itakuwa ni vizuri ukibeba pioneer ya watts 400rms ...mtaa mzma ww ndo utakuwa unaongoza kwa mziki baada ya club
😂😂😂Duuuuh asante sana mkuu ngoja nicheki itakuwaje, safari hii lazima wanipeleke serikali za mtaa kunishtaki, hakuna namna
Duuuuh asante sana mkuu ngoja nicheki itakuwaje, safari hii lazima wanipeleke serikali za mtaa kunishtaki, hakuna namna
Amplifier ulionayo na uwezo gani
Ninayo Sony DZ 650 speaker mboli ndefu ndogo 3 na woofer.
Siinjoy mziki wake.
Especially nikipiga mziki kwa bloototh au flasha...sound haijabalance....unakuta Bass inakua kubwa (inabomoka na kukera maskio) na mchele nakua siupat vzur. Ila nikicheza CD naona balance iko vzuri.
Nimecheza na remote SURROUND na EQ lakini bado sipat sound nzuri.
Hapa nafikiria kutafta kispika cha twita niunge kinibalancie mziki.
Yan nilikua na subwoofer Boss ilikua inachapa mziki balaa. Na hakuna kero
Sielewi
Hapa sina hta kimoja ndo nilikuwa nafanya survey na window shopping kwanza nijue kinaga ubaga roughly bugdet itakuwaje ili nikiinza kununua nanunua vyote kwa pamoja
Budget ya chini fanya hivi
12inch sub ÷ sony 300rms
Au pioneer 400wrms
Amplifier boschmann 1300w
Hio utabridge kwa ajili ya sub
The other 2channel kwa ajili ya spika sa sauti
Hiyo amp inaeza toa 65w per channel hivo spika zake za twita lazma ziwe heavy in terms of power hapo tafuta two way nzuri zenye atlist 40w rms and above
Tafuta twita zingne separate
Equalizer nzuri kutoka hata kwa boschmann pia
Kisha cha mwsho power supply
Hapo budget ni ndogo sana ila result ni mlima .. ukikamilisha hivo kila mtu lazma akuulize umenunua sh ngap na wP
Doooh asante sana mkuu, ila hyo sony subwoofer nakumbuka kuna thread ulisema upande wa bass sio nzuri sana, japokuwa naona yenyewe ndo rahisi sana kuipata kuliko hta pioneer huko madukani
Nimekusoma mkaliIna kasauti sauti pia ni bei rahisi
Mm hapo ningeweka zile midrange speaker za sony
Ila mdundo ningewaachia pioneer
Sababu ya kumwambia hiyo sony ni sababu amp yake si bei ghali sana unaweza pata amp ya laki na 60 ikatosha hapo...no problem