Msaada kuhusu sony home theatre system na RAM

Shukrani mkuu, samahani kwa usumbufu tena, nikiwa na hyo subwoofer si ninaweza unga na amplifier hzi za miziki ya sherehe, kma watts 700-1000, na speaker zingine mbili za full range kila moja watts 100 rms, kwa amplifier hyo hyo 1??
Sipo dar ila ukiwatembelea wanaouza mziki wa hivo yan wanaofunga mziki kwa ma gari wanazo hizo
 
Shukrani mkuu, samahani kwa usumbufu tena, nikiwa na hyo subwoofer si ninaweza unga na amplifier hzi za miziki ya sherehe, kma watts 700-1000, na speaker zingine mbili za full range kila moja watts 100 rms, kwa amplifier hyo hyo 1??

Unataka kuweka ndani, tuanzie hapo kwanza
 
2.1 sio hometheatre ...hiyo ni multmedia ya kawaida hapo kuna stereo na bass ..pia sio kila 5.1 na kuendelea ni hometheatre ..zipo seapiano za hvo ila zinamiss sifa ya kuwa na hizo effect hivo huwez ziita hometheatre

I got my own set up with 4channel za kawaida a center and a sub ...na sio hometheatre
I got lg 4.2 channel hapo vipi
 
Kwa ushauri tu kama mtu anataka music nyumbani kwake anunue music system na kama mtu ana penda games kwenye playstation na movies hapo aende kwenye home theatre... Hizo channel za surround ni kwaajili ya effects za movies mziki una channels mbili tu left na right hakuna mambo ya Dolby Digital sound ambayo ina 5.1 channels
 
Ukiwa na 5.1 or 7.1 unaweza pata 2 chanel 2.1 kwenye hizo system hapo. So ni heri kama mfuko mrefu uchukue surround sound utaset tu kutokana na unachofanya kwa wakati huo.
 
Si kweli mkuu speaker za theatre zina effect zaidi na sio kwamba zinarudia yale yale.

5.1 ni sorround sound tu kwa maana kulia, kushoto mbele nyuma etc.

Speaker za Cinema ni 3d hazimalizi kulia na kushoto tu bali zinaenda hadi juu na chini,

Mfano kuna sauti ya tetemeko speaker za chini zitahusika, kuna sauti ya Ndege kupaa speaker za juu zitahusika, kuna Sauti ya Kiumbe kipo angani kitaongea juu kulia basi speaker ya juu kulia itaongea.

Jaribu kwenda kumbi za Cinema kuthibitisha ninayokwambia.

Sasa umeenda tena kwenye 3D ...ipo zaidi ya hapo na movement za viti kulingana na movie husika hiyo ni 5D na kuendelea
 
hakuna 5d na kinachofanyika theatre ndio tunaki emulate nyumbani tunakiita hometheatre, hivyo it doesnt matter ni 3d au nini kama inafanyika theatre muziki wa nyumbani ukiweza kukifanya tutaita home theatre.
 
5D cinema is based on 4D cinema. 4D cinemas is a combination of 4D special effect seat with 3D traditional movies. ... 5D special effects: Smoke, bubble, lightning, raining, snowing, sweep leg, wind, flame (fire), vibration at bottom, vibration at back, punch at bottom, punch at back, air on face, water on face.
 
hakuna 5d na kinachofanyika theatre ndio tunaki emulate nyumbani tunakiita hometheatre, hivyo it doesnt matter ni 3d au nini kama inafanyika theatre muziki wa nyumbani ukiweza kukifanya tutaita home theatre.
ipo zaidi ya hapo

First unachotakiwa kujua ni kwamba hizi hometheatre zetu zimeanza toka mwaka gani...na kipindi hiyo kwenye kumbi za cinema palikuwa na technology gani je 5D ilikuepo No same to 4D and 3D ...

Kingne je wanazi update kuendana na zile zilipofikia jibu ni baadhi ya company bado wanatoa kama zaman ila baadhi ya company kama klipsch kidogo wanajarbu endena na tulipo...za kwao ambayo unakuta ya kueka nyumbani inauzwa milion 8 na zaidi ina effect hadi za mvua, na mfano wa ndege zikipita na inayo spika za juu kwa ajili ya hicho kitu

Kwa hiyo faham kabla ma 3D hayajaja kulikuwa na sorround tu ya kawaida na ndivyo zilitengenezwa hometheatre ambazo ndo common hapa nchin
 
Hakuna kitu kama 5D kama vipo lete ushahidi hapa, ama umecopy kwenye makasha ya kichina wakidanganya watu?

Na pia theatre za Tanzania na huko ulaya/marekani na nchi zilizoendelea ni hizo hizo, usifikiri Century cinema watakupa leseni uje utengeneze theatre ya kijinga jinga, kama unavyoona Kfc ama cocacola ama brand nyengine za nje wanavyomaintain standard ndio vile vile theatre za bongo zilivyo.

Na usitoke nje Ya mada turudi pale pale 2.1 pia inaweza kuwa home theatre.
 
Ndio mkuu wangu , nataka nitetemeshe makabati ya majirani

Huko umeenda mbali ..punguza chukua pioneer ya 400w rms , 1400w peak hii ni 130k inaeza shuka had 120k box ni elf 90 wao wakiuza jumla ni laki mbili na nusu ukiunga unga bei inashuka

Hio nayo ni hatari haichagui sehemu hata ukiweka nje utafurahi ndan ndo kabisa sio lazima uitege eti kwenye kona ukutani😁
 
Hakuna kitu kama 5D kama vipo lete ushahidi hapa, ama umecopy kwenye makasha ya kichina wakidanganya watu?

Na pia theatre za Tanzania na huko ulaya/marekani na nchi zilizoendelea ni hizo hizo, usifikiri Century cinema watakupa leseni uje utengeneze theatre ya kijinga jinga, kama unavyoona Kfc ama cocacola ama brand nyengine za nje wanavyomaintain standard ndio vile vile theatre za bongo zilivyo.

Na usitoke nje Ya mada turudi pale pale 2.1 pia inaweza kuwa home theatre.

Effect ya maji usoni nk ni D gani kati ya D unazosifahamu kama umekataa 5D hakuna
 
Dolby readily acknowledges that most home theater enthusiasts won't be able to mount overhead speakers, so a number of speaker companies will be offering specially designed Atmos enabled speakers with integrated height drivers. With these, just five speakers and a sub will serve as a complete Atmos home theater speaker system!
An Atmos super system can be configured to run as many as 24 standard speakers, and 10 more height speakers, for a total of 34 speakers for very large home theaters! One or more subwoofers would also be used in such a system.

2.1 cant be hometheatre
 
Ndio hizo gimmick za wachina, so na kesho mwengine akileta moto ni 5d, keshokutwa vumbi 6d wiki ijayo protector nene nene 7d mwezi ujao wanaingiza gari theatre 100D etc. Zote hizi ni gimmicks na hazina maana yoyote kisayansi mnapigwa tu changa la macho.

Mwisho ni 4D ambayo ni time na wala hai apply kwenye vyombo vya muziki, kwenye muziki ni 3d mwisho sababu ndio dimension tunayoweza ku interact nayo.

Zipo hypothesis za 5d lakini ni mambo ambayo yanafanyika nje ya Dunia sehemu kama Black hole.
 
Dolby readily acknowledges that most home theater enthusiasts won't be able to mount overhead speakers, so a number of speaker companies will be offering specially designed Atmos enabled speakers with integrated height drivers. With these, just five speakers and a sub will serve as a complete Atmos home theater speaker system!
An Atmos super system can be configured to run as many as 24 standard speakers, and 10 more height speakers, for a total of 34 speakers for very large home theaters! One or more subwoofers would also be used in such a system.

2.1 cant be hometheatre
Hayo uliyoandika yanahusiana vipi na 2.1 kutokuwa home theatre? Sijakuelewa
 
Unawezaje gawa hizo effect kwenye channel mbili only left and right..where is surrounding ..kwenye hizo spika mbili ipi icheze hizo effect

Ziko hata hizi aboda za elf 90 nishawah ona moja imeandikwa hometheatre
Hometheatre lazma iwe na channels tofauti ikiwemo centre channel. Home theatres nyingi huanzia 5.1!

2.1 channel systems hizo huitwa stereo. Ziko toka enzi za mwalimu. Actually ni Hi-Fi Systems zilizowekewa dedicated Low frequency channel.
 
Back
Top Bottom