Msaada kuhusu sony home theatre system na RAM

Huko umeenda mbali ..punguza chukua pioneer ya 400w rms , 1400w peak hii ni 130k inaeza shuka had 120k box ni elf 90 wao wakiuza jumla ni laki mbili na nusu ukiunga unga bei inashuka

Hio nayo ni hatari haichagui sehemu hata ukiweka nje utafurahi ndan ndo kabisa sio lazima uitege eti kwenye kona ukutani
Duuuh asante sana mkuu, na hapo nilitaka kutafuta na yamaha tower speakers kila moja inapeleka 145 watts rms, ziwe 2 na av receiver ya denon ya watss 600 ambayo ni 7 channels, inatoa 170 watts per channel, then sound processer pamoja na amplifier/ booster ya watss 700, nafikiri hapo shughuli itakuwa imeisha
 
Hometheatre lazma iwe na channels tofauti ikiwemo centre channel. Home theatres nyingi huanzia 5.1!

2.1 channel systems hizo huitwa stereo. Ziko toka enzi za mwalimu. Actually ni Hi-Fi Systems zilizowekewa dedicated Low frequency channel.
Hebu cheki bei hyo hao jamaa wanavyokomoa daaaah
Capture%2B_2020-09-12-18-19-03.jpg
 
Hometheatre lazma iwe na channels tofauti ikiwemo centre channel. Home theatres nyingi huanzia 5.1!

2.1 channel systems hizo huitwa stereo. Ziko toka enzi za mwalimu. Actually ni Hi-Fi Systems zilizowekewa dedicated Low frequency channel.

Yeye anasema zipo za 2.1 hii ni ya kawaida tu hata mm natengeneza
 
Duuuh asante sana mkuu, na hapo nilitaka kutafuta na yamaha tower speakers kila moja inapeleka 145 watts rms, ziwe 2 na av receiver ya denon ya watss 600 ambayo ni 7 channels, inatoa 170 watts per channel, then sound processer pamoja na amplifier/ booster ya watss 700, nafikiri hapo shughuli itakuwa imeisha

Hata zile 6*9 coexial ..ni hatari sana zile mbili tu za watts 80rms ni kama laki na nusu na box zake

Pioneer wanayo amp 4ch full bridgeable pia inatoa 100w × 4 pia ni nzuri sana ile ndo ingelisha channel zako kadhaa kisha mono yao ile ya watts 800 model imenitoka hadi nicheki kazi ingeisha hapo

Au unaeza tafuta amp 4ch channel ukasukumia midrange na twita thenchannel zingne ziwe bridged kw ajili ya sub hapo itakuwa ni vizuri ukibeba pioneer ya watts 400rms ...mtaa mzma ww ndo utakuwa unaongoza kwa mziki baada ya club
 
Duuuuh asante sana mkuu ngoja nicheki itakuwaje, safari hii lazima wanipeleke serikali za mtaa kunishtaki, hakuna namna
 
Ninayo Sony DZ 650 speaker mboli ndefu ndogo 3 na woofer.

Siinjoy mziki wake.

Especially nikipiga mziki kwa bloototh au flasha...sound haijabalance....unakuta Bass inakua kubwa (inabomoka na kukera maskio) na mchele nakua siupat vzur. Ila nikicheza CD naona balance iko vzuri.

Nimecheza na remote SURROUND na EQ lakini bado sipat sound nzuri.

Hapa nafikiria kutafta kispika cha twita niunge kinibalancie mziki.

Yan nilikua na subwoofer Boss ilikua inachapa mziki balaa. Na hakuna kero

Sielewi
 
😁 Kuna ki LG flan hometheatre cha watts 300...ki spika chake cha bass ni kama cha aboda AB3119BH cha watts 30 tu...muhusika tulimwambia pamoja na kutoa laki tatu ne pesa kwenye huo mziki wako ila mtu wa seapiano akifungulia ya kwake ita sound better akakataa ...tukatest ..asee ile inayo spika ndefu ila clarity ya mziki hakuna jarbu ku set wapi....

Tukatest na seapiano model ya 2013 inachuja vizur ..bass ya kutosha 8inch sub kwa pesa ndogo
 
Hapa sina hta kimoja ndo nilikuwa nafanya survey na window shopping kwanza nijue kinaga ubaga roughly bugdet itakuwaje ili nikiinza kununua nanunua vyote kwa pamoja

Budget ya chini fanya hivi

12inch sub ÷ sony 300rms
Au pioneer 400wrms

Amplifier boschmann 1300w

Hio utabridge kwa ajili ya sub

The other 2channel kwa ajili ya spika sa sauti

Hiyo amp inaeza toa 65w per channel hivo spika zake za twita lazma ziwe heavy in terms of power hapo tafuta two way nzuri zenye atlist 40w rms and above

Tafuta twita zingne separate

Equalizer nzuri kutoka hata kwa boschmann pia

Kisha cha mwsho power supply

Hapo budget ni ndogo sana ila result ni mlima .. ukikamilisha hivo kila mtu lazma akuulize umenunua sh ngap na wP
 
Doooh asante sana mkuu, ila hyo sony subwoofer nakumbuka kuna thread ulisema upande wa bass sio nzuri sana, japokuwa naona yenyewe ndo rahisi sana kuipata kuliko hta pioneer huko madukani

Ina kasauti sauti pia ni bei rahisi

Mm hapo ningeweka zile midrange speaker za sony

Ila mdundo ningewaachia pioneer

Sababu ya kumwambia hiyo sony ni sababu amp yake si bei ghali sana unaweza pata amp ya laki na 60 ikatosha hapo...no problem
 
Kama unahitaji single sub better zile pioneer

Eg kuna bus moja lina ile spika pamoja na urefu wote ule na wingi wa abiria na kelele ya upepo wakat linatembea sababu baadhi ya abiria huacha maridisha wazi ila cha ajabu you can still feel that deep bass hata ukikaa mbele kabisa unasikia kama tetemeko flan na haikeri
 
Wakuu Msaada Nina Sony Home Theatre Nimetumia Vema Kwa Muda Baadaye Kubofya Button Ya Kufungulia Mlango (CD Tray) Inaandika Open Lakini, Haifunguki Baadaye Inaandika Close!!

Tafadhali Wajuzi Naomba Msaada Nimekorofisha Wapi?
Upande Wa Radio, USB Iko Sawa Sawa

Tatizo Ni Mlango Kutokufunguka

51914b8cfa386a1d2b403b171b412781.jpeg.jpg
 
Back
Top Bottom