Asante Sana Mkuu... Sasa unanishauri ninunue laptop gani ya kisasa ambazo bei zke ni nafuuhio ni laptop ya kizamani 1st gen unaweza zipata hata laki 2 au 3 hazina issue sana, na usiangalie wingi wa ram sababu ram zinaongezeka kirahisi, mtu anaweza akatafuta laptop ya 150,000 akaspend kidogo akanunua ram ya 8GB kisha akakuuzia wewe kwa bei ghali.
kwa mpya kuanzia around 700,000 hadi 800,000 ndio unapata laptop nzuri za i3 chini ya hapo utadanganywa tu mkuu.Asante Sana Mkuu... Sasa unanishauri ninunue laptop gani ya kisasa ambazo bei zke ni nafuu
i3 7th gen ni zaidi ya 50 percent faster kuliko i5 ya 1st gen, pia inatumia umeme kidogo sana na kwenye gpu ni zaidi ya 700 percent faster. yani utofauti wao ni mkubwa sana. na ukipata i5 7th gen ni nzuri zaidi.Sasa hizi za core i3 si zitakuwa na uwezo mdogo mkuu ukilinganisha na hii yangu ya zamani yenye corei5? Nauliza lakini
Asante sana Mkuu kwa ufafanuzi huu na kunipa mwangaza katika hili. Kwaiyo nikienda kununua niwambie nataka core i3/core i5 ya 7th Generation sio watanielewa? Mwisho kabisa mfano nikienda kununua kwenye yale Maduka ya Used Laptop yaliyopo pale kariakoo Uhuru sio mbaya?i3 7th gen ni zaidi ya 50 percent faster kuliko i5 ya 1st gen, pia inatumia umeme kidogo sana na kwenye gpu ni zaidi ya 700 percent faster. yani utofauti wao ni mkubwa sana. na ukipata i5 7th gen ni nzuri zaidi.
yah 7th iwe priority ila ukikosa 6th pia ni nzuri.Asante sana Mkuu kwa ufafanuzi huu na kunipa mwangaza katika hili. Kwaiyo nikienda kununua niwambie nataka core i3/core i5 ya 7th Generation sio watanielewa? Mwisho kabisa mfano nikienda kununua kwenye yale Maduka ya Used Laptop yaliyopo pale kariakoo Uhuru sio mbaya?
kuhusu home theatre pia usiangalie nguvu tu ya speaker kuna vitu kama chanell ni muhimu mkuu, kuna 2.1, 5.1, 7.1 etc hizo ni idadi ya speaker na kila moja ina eneo lake linakaa kwenye chumba ama sebule, chagua kutokana na eneo lako unapopeleka hio home theatre.
pia sometime wireless sio nzuri hasa unapoplay vitu vyenye bandwidth kubwa, ni technology gani ya wireless inatumika? kama ni Wifi ni ipi?
CORAL
kitu gani kinafanya 2.1 isiwe home theatre? speaker yoyote ile inayomimic sound kama theatre inastahili kuitwa home theatre.2.1 sio hometheatre ...hiyo ni multmedia ya kawaida hapo kuna stereo na bass ..pia sio kila 5.1 na kuendelea ni hometheatre ..zipo seapiano za hvo ila zinamiss sifa ya kuwa na hizo effect hivo huwez ziita hometheatre
I got my own set up with 4channel za kawaida a center and a sub ...na sio hometheatre
kitu gani kinafanya 2.1 isiwe home theatre? speaker yoyote ile inayomimic sound kama theatre inastahili kuitwa home theatre.
zipo home theatre kibao toka kampuni kubwa kubwa ambazo ni 2.1 na zinatoa sound effect kama upo kwenye theatre
mfano Bose cinemate series
swali hilo hilo jiulize unapataje sorrounding ya theatre kwenye speaker 5 ama 7? maana kumbi nyingi siku hizi zina speaker 20 kuendelea,Unawezaje gawa hizo effect kwenye channel mbili only left and right..where is surrounding ..kwenye hizo spika mbili ipi icheze hizo effect
Ziko hata hizi aboda za elf 90 nishawah ona moja imeandikwa hometheatre
swali hilo hilo jiulize unapataje sorrounding ya theatre kwenye speaker 5 ama 7? maana kumbi nyingi siku hizi zina speaker 20 kuendelea,
speaker ikishakua zaidi ya 1 tayari kuna sorround sound hata kama itakuwa ni left na right tayari ipo, ni kwa ubora ule ule? hapo ndipo unajikuna unapofikia.
Spika 20 zinarudia sound ile ile kulingana na ukubwa wa ukumbi ila sio kwamba kila moja itacheza effect yake big No
Hata nilipo kuna 5 channel na single super bass...sasa jiulize why nimeweka channel zote na mziki unatengenezwa na channel mbili tu
Jibu lake litakuwa ni sawa na huo ukumbi kuwa na speaker 20 ...lengo ni moja mimi kwangu kulingana na eneo channel hizo zimetosha
Subwoofer ya pioneer rms watts 600 kibongo bongo bei gani na zinapatikana wapi???
Si kweli mkuu speaker za theatre zina effect zaidi na sio kwamba zinarudia yale yale.Spika 20 zinarudia sound ile ile kulingana na ukubwa wa ukumbi ila sio kwamba kila moja itacheza effect yake big No
Hata nilipo kuna 5 channel na single super bass...sasa jiulize why nimeweka channel zote na mziki unatengenezwa na channel mbili tu
Jibu lake litakuwa ni sawa na huo ukumbi kuwa na speaker 20 ...lengo ni moja mimi kwangu kulingana na eneo channel hizo zimetosha
Laki mbili na 20 huku bila enclosure yake...
Asante, zinauzwa wapi kwa dar??