Msaada kuhusu simu yenye mwanga mdogo

Msaada kuhusu simu yenye mwanga mdogo

philemon musa

Member
Joined
Oct 31, 2017
Posts
11
Reaction score
1
Naomba mnisaidie simu yangu ina mwanga mdogo sana na inanipa shida kuangalia so nataka kujua nini nikifanye ili iweze kuongeza mwanga@chiefmkwawa
 
simu gani?
Mkuu naomba nisaidie app nzuri ya android yenye uwezo wa kureplace audio katika video!!(video editting app )......Kuna ambazo natumia na zinafanya kazi hiyo vizuri tu ila tatizo nikisha replace audio kwenye hiyo video nikitaka ku-upload hiyo video kwenye acc yangu ya instragram inagoma,yaani inaenda audio tu na video inakuwa blank au inakuwa inaonekana rangi tu!!
 
umejaribu cyberlink powerdirector?
 
Back
Top Bottom