Msaada kuhusu shinyanga sec...shybush.

Dogo mimi nilisoma hapa shybush so nakupa ushauri with facts, mazingira ya shule ni fantastic cause hakuna shule ya gvt yenye services kama ile labda kidogo kibaha sec inafuatia, katika ishu ya supply ya water na electricity sikumbuki kama vishawahi kuwa tatizo labda now. Sema walimu sio kivile, cha kufanya we jiandae na mapindi by the time ukifika shybush we kula misuli tu. Vyumba vya madarasa viko poa ni ghorofa mbili na ziko block kama tano. Kuna mess (eneo la msosi) na vyoo viko poa yani katika mazingira ya kusoma iko okay. Kuna cubes (maeneo ya kulala) sema mtu mbili kitanda mna-share.
 
Kwa ninavyoifahamu hiyo shule ni bomba sana mazingira yake ni mazuri si unajua ilijengwa na mzungu so labda kama kwa sasa imechoka lakini aaahhh ni pazuri sana service zote zinapatikana vizuri nakumbuka jamaa waliokuwa wakisoma hapo aaahhh walikuwa noma sana vijana wanaimba kwaya mbaya mbovu na walikuwa ni vichwa sana. Nenda dogo usiogope utakuwa unakwenda Mwadui weekend kushangaa shangaa machimbo ya Almasi
 
Kwani we ni mwalim wa ajira mpya au mwanafunzi ambaye umechaguliwa kujiunga hapo kidato cha tano?
 
Dogo mimi nilisoma hapa shybush so nakupa ushauri with facts, mazingira ya shule ni fantastic cause hakuna shule ya gvt yenye services kama ile labda kidogo kibaha sec inafuatia, katika ishu ya supply ya water na electricity sikumbuki kama vishawahi kuwa tatizo labda now. Sema walimu sio kivile, cha kufanya we jiandae na mapindi by the time ukifika shybush we kula misuli tu. Vyumba vya madarasa viko poa ni ghorofa mbili na ziko block kama tano. Kuna mess (eneo la msosi) na vyoo viko poa yani katika mazingira ya kusoma iko okay. Kuna cubes (maeneo ya kulala) sema mtu mbili kitanda mna-share.

Kwahiyo ma teacher ndo sokivile?? Wat. Abt uniforms zake za advance zkoje
Nakutoka shinyanga mjin kuna umbal gan had skul?? In kilometer?
 
Kwa ninavyoifahamu hiyo shule ni bomba sana mazingira yake ni mazuri si unajua ilijengwa na mzungu so labda kama kwa sasa imechoka lakini aaahhh ni pazuri sana service zote zinapatikana vizuri nakumbuka jamaa waliokuwa wakisoma hapo aaahhh walikuwa noma sana vijana wanaimba kwaya mbaya mbovu na walikuwa ni vichwa sana. Nenda dogo usiogope utakuwa unakwenda Mwadui weekend kushangaa shangaa machimbo ya Almasi

Mara ya mwusho kuiona ilikua mwaka gani??
 
Kwahiyo ma teacher ndo sokivile?? Wat. Abt uniforms zake za advance zkoje
Nakutoka shinyanga mjin kuna umbal gan had skul?? In kilometer?

nimesoma pale kwa miaka sita. Kuna mwl wa physics na chemistry anaitwa prudence a.k.a. 'mzee wa ushirikiano' bila kumpa pesa haingii clas
 
he he he he he aisee hii shule nakumbuka ilikuwa maarafu enzi hizo na mzee wangu amesoma hapo advance miaka hiyo ya 70 anasema ilikuwa poa sasa cjajua kwa sasa hivi iko vipi...
 
Duuuu 70?? Mamama thnx!
 
Kwahiyo ma teacher ndo sokivile?? Wat. Abt uniforms zake za advance zkoje
Nakutoka shinyanga mjin kuna umbal gan had skul?? In kilometer?

suruali nyeusi na shati nyeupe ila hakuna label (nembo) kabisa pale shybush. Kuhusu umbali kutoka town mpaka maganzo (kituo ambacho shule ipo pia ni kama mji kwa wakazi wa wilaya ya kishapu) ni kutoka ubungo mpaka kibaha ni kama around 50-60 kms.
 
Thnx kaka but vip kuna viwanja vya michezo?
 
suruali nyeusi na shati nyeupe ila hakuna label (nembo) kabisa pale shybush. Kuhusu umbali kutoka town mpaka maganzo (kituo ambacho shule ipo pia ni kama mji kwa wakazi wa wilaya ya kishapu) ni kutoka ubungo mpaka kibaha ni kama around 50-60 kms.
hahahaha! dah mkuu nimepiga pale pia! kunaticha yuko pale anaitwa PRUDENCE! na MZEE NYANGU ndo head kwasasa! ila minilisoma wakati wa MZEE MBANGA! mazingira yako fresh tu maji na umeme huwa haukatiki! harafu kuna ticha furani anaiywa NDEKWA nimnoko kichizi! afu utakuwa unaenda kutembea GANZO na MWADUI ukipenda unaweza kuwa MHABESH!
 
Mimi pia nilipiga shule shy bush. Ni shule yenye mazingira mazuri. Enzi nasoma form v walikuwa wakikaa wanne kwenye cube moja. form vi tulikuwa tukiishi wawili na cube moja kwa o level walikuwa wakiishi wanafunzi 8. viwanja vya michezo usipime. Nilikuwa kiongozi wa michezo na starehe nikashangaa sana nilivikuta vifaa vya hokey. Centre ya karibu kwa ajili ya kununua mahitaji yako iko eneo la maganzo na wakati mwingine mwadui mgodini. Huduma za dispensary ni nzuri na referral yaweza kuwa mwadui au shinyanga mjini ambako panafikika kirahisi. Kufaulu ni msuli wako tu dogo kwani walimu wanajitahidi
 
Nakuhusu sheria zao wako streect sana or?
 
Ulisoma miaka gan??
 
hahahaha! dah mkuu nimepiga pale pia! kunaticha yuko pale anaitwa PRUDENCE! na MZEE NYANGU ndo head kwasasa! ila minilisoma wakati wa MZEE MBANGA! mazingira yako fresh tu maji na umeme huwa haukatiki! harafu kuna ticha furani anaiywa NDEKWA nimnoko kichizi! afu utakuwa unaenda kutembea GANZO na MWADUI ukipenda unaweza kuwa MHABESH!

unapakumbuka kwa MAZA? Sehemu ambayo watoto wengi waliotoka nje ya shinyanga wanaenda kupata msosi kwa kuwa wali wake na maharage full nazi halafu bei cheeee, mixa maziwa. Halafu nyumba za maticha ziko standards mixa ghorofa for headmaster. Kiukweli kwa Tanzania ile ni namba mbili enzi zile baada ya Mkwawa high school. Now days nadhani haitakua na mabadiliko sana. Dogo mi nimetoka pale six now nipo ardhi university na watu kibao tumeingia nao chuo kutoka shybush. Combination zinazofanya vizuri sana pale ni EGM na HGE ila PCM na PCB sio wazuri sana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom