Msaada kuhusu second round

Msaada kuhusu second round

Weka quantity surveying Udsm huwez kosa
 
Weka Kama first priority halaf ukipata nichek matokeo yako yako mazur usihof utapata
 
Quantity surveying ni koz mpya pale Udsm watu wengi bado hawaja ifaham so competition ni ndogo ni koz iliyoanza mwaka Jana tuu na inahusu ujenz graduates ndo hawo wanaoitwa wakadiriaj ujenzi
 
Naombeni msaada wadau, kuna dogo kakosa first selection na kaomba upya kama ifuatavyo
1.RUCU-Baed(remaining capacity 22)
2.SAUT(Arusha)-Baed(remaining capacity 233)
3.UDOM-Bachelor of arts in english(capacity 24)
4.MAKUMIRA(Arusha)-Baed(capacity 102)
5.KIU-Baed (capacity371)

COMB_ (HGL)
Matokeo (2 ya 11)

Vipi hapo anawezapata chuo, au afanye nn ili awe n uhakika wa kupata chuo.?
ushauri tafadhari.
kwa kozi alizoomba anaweza akapta Mungu anahusika kwenye hya mambo
 
Asante mkuu vipi wewe umechaguliwa hiyo quantity survey

Quantity surveying ni koz mpya pale Udsm watu wengi bado hawaja ifaham so competition ni ndogo ni koz iliyoanza mwaka Jana tuu na inahusu ujenz graduates ndo hawo wanaoitwa wakadiriaj ujenzi
 
Hizo kozi zote nilizojaza zina nafasi 40 na zaidi kidogo ndo zina afadhali. Nyingine nafasi 5 au 2 tu sasa hizo ndo sijaweka.
Pole sana kwa kutoappear round ya kwanza japo umejitahidi ktk ufaulu wako. Kukosa round ya kwanza haimaanishi ndo uchague chuo chochote na course yyte, hope umepitia kila chuo ulichochagua kwa round hii ya Pili....so wait selection na kuwa na utulivu coz vigezo vya kuchaguliwa unavyo
 
Naombeni msaada wadau, kuna dogo kakosa first selection na kaomba upya kama ifuatavyo
1.RUCU-Baed(remaining capacity 22)
2.SAUT(Arusha)-Baed(remaining capacity 233)
3.UDOM-Bachelor of arts in english(capacity 24)
4.MAKUMIRA(Arusha)-Baed(capacity 102)
5.KIU-Baed (capacity371)

COMB_ (HGL)
Matokeo (2 ya 11)

Vipi hapo anawezapata chuo, au afanye nn ili awe n uhakika wa kupata chuo.?
ushauri tafadhari.
Uyo 100%
 
Je na hapa vipi wa kuu division two 12 DCE haezi akatemwa tena?
 
Attachments

  • 1474278983210.jpg
    1474278983210.jpg
    36 KB · Views: 38
Pole sana kwa kutoappear round ya kwanza japo umejitahidi ktk ufaulu wako. Kukosa round ya kwanza haimaanishi ndo uchague chuo chochote na course yyte, hope umepitia kila chuo ulichochagua kwa round hii ya Pili....so wait selection na kuwa na utulivu coz vigezo vya kuchaguliwa unavyo
Asante mkuu nimepitia na kutathmini imebaki tu selection zitoke.
 
Mkuu kwa ufaulu huo kwa Pcm umekosaje chuo mbona mimi nimepata udsm na div 2 ya 10
 
Back
Top Bottom