Mondela
JF-Expert Member
- Aug 20, 2021
- 2,567
- 3,793
Habarini wakuu naomba msaada kuhusu bei halisi ya Printer L805 kwa Mwanza, maana kunajamaa namuulizia kuhusu bei et ananiambia kwa Mwanza zimepanda bei ni 850000 je' ni sahihi kwa bei hiyo maana kwa Dar zinaanzia kama sikosei 650000 hadi 700000 na point huko sasa iweje Mwanza ifikie 850000? 




