Dionize N
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 1,848
- 3,298
Ohoooo!!! Kibao kinageuzwa...ila kweli ulipotea bana nikawaza ngoja nikakusakalanye usiku wa manane, tafuta weeeee wapi bana nikahisi bwana mkubwa kakupiga marufuku ku log in ilibaki kidogo tu nikuibukie maskani aiseeUmenitupa sana.....sawa tu lakini.
Nyumbani unakujua kwanini usije kusalimia lakini?