rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 22,170
- 43,974
- Thread starter
- #21
Nashukuru mkuu[emoji120]Yes zinafanyika. Kilakitu kinafanyika kama harusi. Usichelewe mkuu, ni jambo jema mbele za Mungu na wanadamu kuishi katika ndoa takatifu. Cha msingi waambie wazee wako mpeleke mahari kwao binti. Hata kwao binti watafurahi na kujisikia vizuri kua unaenda rasmi na kwa heshima ukienda na wazee wako