Wewe unambishiaNilikuwa nimeregister, lakini inaonesha verification itakamilika within 5~7 working days. Nina urgent issue,kusubiri 5~7 days ni issue zaidi ya issue.
Wacha uongo uki-register na kuweka vikolombwezo vyote huwa ni hapo kwa hapo, labda inategemea upo nchi gani. Sorry mate.
kuwepo kwa huduma zote inabidi paypal wapitie financial regulations za nchi fulani na wakubaliane nazo hivyo kuwepo kwa huduma zote, haya ni majibu ambayo paypal walinijibu kwa email,
ni kweli paypal hakuna huduma ya kureceive pesa kwa Tanzania pia hata Uganda na nchi nyingi tu , Kenya inazo huduma zote za kutuma na za kureceive
register a paypal akaunti weka nchi TANZANIA angalia juu utaona sehemu ya SEND PAYMENT tu, Again register a pyapal akaunti weka nchi KENYA or USA , utaona both RECEIVE PAYMENT na SEND PAYMENT
Hivyo kwa mtu wa TANZANIA hawezi kuuza vitu ebay kwa direct paypal paymet, anaweza kuuza but kwa kwa direct paypment through VISA or MASTAKADI,
Mkuu bado hapa nipo njia panda je hela haitangia kabisa kwenye paypal au itaingia kwenye paypal then ntashindwa kuingiza kwenye acount yangu ya benk?
Tanzania iko restricted kupokea labda kutuma au kununua tu. Baada ya kugundua hilo mimi nilihamia PAYZA ambao wanaruhusu kutuma na kupokea bila shida yoyote.
Mkuu bado hapa nipo njia panda je hela haitangia kabisa kwenye paypal au itaingia kwenye paypal then ntashindwa kuingiza kwenye acount yangu ya benk?
chief,Kuna kupokea paypal na kupokea kwenye kadi through paypal we wasepa kupi?
mi mpaka nimekataa tamaa sasa..ni kama miezi miwili hivi imepita tangu niombe crdb wanifungulie visa card yangu...kila nikienda mara njoo wiki ijayo , mara kesho mara baada ya wiki moja itakuwa tayari na nshajaza hadi ile form ya kuwa responsible mwenyewe watakapo activate huduma hii ambayo unajaza card no account details, tena nimejaaza zaid ya mara mbili maana mara ya kwanza nimajejaza wakasema baada ya siku 3 itakuwa tayari,nimerudi siku ya 3 eti form hawaioni ...!! nikajaza tena... baaday ya siku 3 kurudi wakanipiga kiswahili tena nikapoa wakanipa nyingine nikajaza, mpaka leo ni mwezi umepita paypal siwez ku confirm card yangu inagoma na benki kila nikienda napigwa kiswahili..aaarghhh...!!
Ni kweli kabisa mimi niko Mwanza mwezi wa 3 sasa nafuatilia,mpaka leo sijaweza kutumia Paypal tayari nina acount ya PayPal lakini lazima Bank wafanye verification ya card yako mimi niko CRDB kila nikienda wananiambia nipige simu Customer Care Makao makuu,siku nyingine wanasema form niliyoijaza waliokesa kui fax ili mradi tu usumbufu.
jana waliniambia niende nikajaribu jibu nililolipata ni lilelile your Card is denied please Contact you Bank.
Naomba mteja wa CRDB ambae alishafanikiwa kujiunga anisaidie.