mathematics
JF-Expert Member
- Feb 21, 2012
- 3,324
- 1,116
Mkuu usikurupuke .... ...... ''labda inategemea upo nchi gani.''
why you want to do this? hujaeleweka vizuriSina paypal account, je nawezaje kutuma fedha kutoka account yangu ya bank kwenda account ya paypal?
Sina paypal account, je nawezaje kutuma fedha kutoka account yangu ya bank kwenda account ya paypal?
Mkuu usikurupuke .... ...... ''labda inategemea upo nchi gani.''
chief-mkwawa Joendu85 wakuu naona mna uzoefu na paypal...nilikuwa refunded ebay sasa shida ikaja hela haijaingia kwenye my bank account ila inaonyesha kuwa transaction successful. Mmeshawahi kutana na issue kama hii?
Samahani wakuu, tuhabarishane tafadhali; ni Benki gani kwa hapa TZ zenye huduma hii ya Paypal?
Sina paypal account, je nawezaje kutuma fedha kutoka account yangu ya bank kwenda account ya paypal?
benki zote zenye master na visa card hii huduma ipo na kwa upande wa NBC wao ili upate code za kuverify lazima upige customer center mabenki mengine sijui..
Rejister paypal na details zako lazima
uwe na credit or debit card unaweza kuhamisha pesa toka account ya mtu mwenye paypal kwenda mtu mwingine
mwenye paypal free of charge
huwez tumia huduma ya paypal immediately baada ya kuregister inabidi uiaktivate kwa kuingiza code utakazotumiwa na paypal na hizi code huonekana kwenye bank stetement yako after 3-5-7 days
hii imewekwa ili wakufahamu kweli wewe ndiye mmiliki halali wa hiyo kadi, kwa kwenda chukua statement from ur bank then kuingiza hizo code unakuwa umethibitisha wewe ndiye mmiliki halali wa kadi,
Lazima uwe na hiyo account kwanza....na hiyo verification code unaipata within 3 business days, there4, hapo hakuna short cut! Depending to your banker, kama una access na internet banking, kwako inaweza kuwa rahisi zaidi coz' unaweza ukawa unaipitia online statement yako mara kwa mara kuona kama tayari verification code imesha-appear kwenye account.
Hata kama upo sayari ya mars, lazima Paypal wa-verify akaunti yako otherwise wizi kupitia paypal ungekuwa mkubwa sana!! Just imagine kwamba ndo hakuna verification; ina maana mtu akishaipata VISA card yako tu even for a minute anaweza kukuibia?! Anatoa tu photocopy kisha anaenda kufungua paypal account na hapo hapo anaanza ku-transfer fedha from ur offline bank account to paypal account!
But sio kwa kila nchi! For instance, Paypal account (Tanzania) can not receive money...!! Kama upo Tanzania and many other African Countries, you can use Paypal only for making payment.
Is this realyy? Prove na kwanini?
sasa mkuu wewe ilikuchukua miongo kadhaa, lazima uelewe kuna tofauti katika accounts. Accounts zingine ni za nyanya.
three working days you must be joking, lazima uelewe kwamba pay pal unawapa e-mail yako na verification inakuja via e-mail yako plus wao wana vigezo vya ku-verify your name and location through other means kama voters roll and your credit history and your accounts within minutes kama upo ulaya hususan uk, nashangaa kuona ung'ang'anizi ambao hauna msingi na kuweka mambo ya vijiweni. it all depends upo nchi gani, hiyo ndio bottom line wether you like it or not.
wacha uongo unafikiri verification yao ni sawa na unavyofikiri?
Don't act like you know kumbe hujui chochote! Unaongelea mafikirio zaidi kuliko uhalisia
unajua kwa kufikiria watu tunajua kwa practice having 100% 263 ebay +ve feedback
siwezi bishana na anayejifanya anajua kumbe hajui , na hajui kama hajui !!
Ulimbukeni mwingine mbaya sana!! Hizo account za nyanya zikoje?! Au unazani Paypal account ni only for accounts with $, STG or Euro pekee? Acha ushamba kijana!!Sasa mkuu wewe ilikuchukua miongo kadhaa, lazima uelewe kuna tofauti katika accounts. Accounts zingine ni za nyanya.
Uongo ni upi?! Nazani kuna mdau mmoja alishajibu wazi kwamba hapa tunazungumzia mazingira ya TZ....sasa hayo ya Ulaya yanatoka wapi?! Au unataka tufahamu kwamba upo Ulaya? we vipi...!!! Hapa hakuna cha kuwapa email wala nini, acha ujuaji usio na maana. What u do ni kwamba unafungua Paypal account using email address na sio kuwapa email. Ukishafanya hivyo, ktk ku-verify wanakukata $1.95 (but inakuwa refunded after verification) ambayo hiyo transaction ina-appear kwenye bank statement within three business day. Kwenye hiyo entry ndo utakuta Verification Code ambapo itakulazimu ku-log in kwenye Paypal account kwa kutumia email ambayo uliitumia na utakuta sehemu inayokutaka kuingiza hiyo verification code....sasa unachokataa wewe ni nini?! Halafu ulivyo wa jabu, karibu wote hapo wamezungumzia suala la hiyo 3 business days.....hapa hatuzungumzii mambo ambayo ni exceptional bali uhalisia na huo niliokupa ndio uhalisia wenyewe!Three working days you must be joking, lazima uelewe kwamba pay pal unawapa e-mail yako na verification inakuja via e-mail yako plus wao wana vigezo vya ku-verify your name and location through other means kama voters roll and your credit history and your accounts within minutes kama upo ulaya hususan UK, nashangaa kuona ung'ang'anizi ambao hauna msingi na kuweka mambo ya vijiweni. It all depends upo nchi gani, hiyo ndio bottom line wether you like it or not.
Verification yao?! Akina nani?! Kama ninavyofikiri nini wakati mwenyewe ninayo hiyo Paypal account na ninaitumia kwa muda mrefu tu sasa?!Wacha uongo unafikiri verification yao ni sawa na unavyofikiri?
mkuu wangu,Is this realyy? Prove na kwanini?
Ulimbukeni mwingine mbaya sana!! Hizo account za nyanya zikoje?! Au unazani Paypal account ni only for accounts with $, STG or Euro pekee? Acha ushamba kijana!!
Uongo ni upi?! Nazani kuna mdau mmoja alishajibu wazi kwamba hapa tunazungumzia mazingira ya TZ....sasa hayo ya Ulaya yanatoka wapi?! Au unataka tufahamu kwamba upo Ulaya? we vipi...!!! Hapa hakuna cha kuwapa email wala nini, acha ujuaji usio na maana. What u do ni kwamba unafungua Paypal account using email address na sio kuwapa email. Ukishafanya hivyo, ktk ku-verify wanakukata $1.95 (but inakuwa refunded after verification) ambayo hiyo transaction ina-appear kwenye bank statement within three business day. Kwenye hiyo entry ndo utakuta Verification Code ambapo itakulazimu ku-log in kwenye Paypal account kwa kutumia email ambayo uliitumia na utakuta sehemu inayokutaka kuingiza hiyo verification code....sasa unachokataa wewe ni nini?! Halafu ulivyo wa jabu, karibu wote hapo wamezungumzia suala la hiyo 3 business days.....hapa hatuzungumzii mambo ambayo ni exceptional bali uhalisia na huo niliokupa ndio uhalisia wenyewe!
You're talking abt kuangalia Credit Card History; wht if hiyo credit card ni mpya or no any history? Unataka kuniambia hapo huwezi kufungua paypal account na kuwa verified?! Acha kukariri!
Verification yao?! Akina nani?! Kama ninavyofikiri nini wakati mwenyewe ninayo hiyo Paypal account na ninaitumia kwa muda mrefu tu sasa?!
Sina paypal account, je nawezaje kutuma fedha kutoka account yangu ya bank kwenda account ya paypal?
mi mpaka nimekataa tamaa sasa..ni kama miezi miwili hivi imepita tangu niombe crdb wanifungulie visa card yangu...kila nikienda mara njoo wiki ijayo , mara kesho mara baada ya wiki moja itakuwa tayari na nshajaza hadi ile form ya kuwa responsible mwenyewe watakapo activate huduma hii ambayo unajaza card no account details, tena nimejaaza zaid ya mara mbili maana mara ya kwanza nimajejaza wakasema baada ya siku 3 itakuwa tayari,nimerudi siku ya 3 eti form hawaioni ...!! nikajaza tena... baaday ya siku 3 kurudi wakanipiga kiswahili tena nikapoa wakanipa nyingine nikajaza, mpaka leo ni mwezi umepita paypal siwez ku confirm card yangu inagoma na benki kila nikienda napigwa kiswahili..aaarghhh...!!