Msaada kuhusu Mtando wa matangazo wa seebait.com

BongoTechno

Member
Jan 22, 2017
27
13
Habari zenu wakuu, Nilikuwa nina baadhi ya maswali kuhusu huu Mtandao wa matangazo wa seebait

1. Jinsi wanavyolipa ( PPC, CPM or CPA ) Na Kama kwenye PPC, How Much Cost Per Click ??

2. Minimum payouts

3.Payment Methods

Natanguliza Shukrani
 
Wanalipa vzr sana, minimum payout ni 50 USD. Wanalipa mojakwamoja kupitia bank account. Kama wewe unajiunga kwa marayakwanza utaonesha matangazo yao mara 100,000 au kwa muda wa mwezi mmoja bure, baada yahapo matangazo mengine yanayolipa yataanza kutokea na kipindi hakuna adverser basi tangazo la seebait litaonekana bure japo unaweza ukaya hide mpaka siku kukiwa na matangazo mengine
 
Vigezo gani vinahitajika kwa blog ili kuweza kujiunga nao?
 
Wanalipa vzr sana, minimum payout ni 50 USD. Wanalipa mojakwamoja kupitia bank account. Kama wewe unajiunga kwa marayakwanza utaonesha matangazo yao mara 100,000 au kwa muda wa mwezi mmoja bure, baada yahapo matangazo mengine yanayolipa yataanza kutokea na kipindi hakuna adverser basi tangazo la seebait litaonekana bure japo unaweza ukaya hide mpaka siku kukiwa na matangazo mengine
Cc Infantry Soldier
 
Back
Top Bottom