Msaada kuhusu movie ya TENET

Alafu Kwny tuzo za oscar limechukua hili limuv kipengele cha best visual effects
 
mi napenda zile movie ikiwa inaanza tu ushaelewa mwishon itakuaje,mfano ni zile movie unakuta mkuu wa magaidi katekwa kwa hyo vijana wake wanapanga mbinu wakamtoroshe ,picha unakuw ushaelewa bifu lipo kwa majangili na serikal au majangiri na sterling
.walee wazee wa kubet wanakuw washajua nan anakufa nan anabak
.

kuna movie moja niliiangalia yaan imeanza tuu sterling anapigwa risas anakufa .wazungu bana
 

Alafu sterling akishakufa wanakupa flash back
 
WAKUU MPO POA
Leo nilikuwa na watch movie inaitwa TENET.
Kusema la ukweli hii movie sijaielewa.
Ningependa kwa mkuu aliyebahatika kuiangalia just anipe hata kasummary kidogo kuhusu hii movie.
bora wew mim nnayo kwenye hard disk nmeiangalia zaid ya mara 10 ila naishiaga tu kwenye saa 1:30 naitoa maana naona chenga tu kila nimifos kuielewa natoka patupu
 
yani nmeiona lakini sijaielewa
na wew umenihadithia ndo kabisaa nmetoka kapa
 
Hivi Fohadi mwanangu nakuambia naanza kutazama Tenet na hata hujanitonya muujiza nitakaokutana nao, nimetazama mpaka nimepata kizunguzungu maana sielewi, ikabidi nije huku kwenye kisima cha maarifa, nakuta tupo wengi..!!😂
 
Dduh. Kazi yote ya nini hii kuangalia movie isoeleweka. Kheri hata niangalie Tom and Jerry
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…