Msaada kuhusu mkoa wa Tabora

Msaada kuhusu mkoa wa Tabora

T-Bagwell

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2017
Posts
1,245
Reaction score
2,387
Habari wana jf?

Natarajia kuelekea mkoa wa Tabora kikazi hivi karibuni

Sijawahi kufika mkoa huo kabla

Sasa naomba msaada wenu wana jf kuhusu mazingira,mandhari na watu wa mkoa huo. ... nini chakufanya, nini chakutokufanya na vingine vingi ambavyo unaweza ukahisi vitanipa mwangaza juu ya mkoa huo

Ahsanteni!
 
kwanza inabidi ueleze unaenda sehemu(specific) , je ni tabora mjini, Urambo,nzega, igunga, sikonge au kaliua?? maana hzo sehemu zote ni tabora na zinatofautiana sifa na mazingira. baada ya hapo utaweza kuelezwa yote
 
Ni tabora mjini Mkuu
 
Tabora **** chuo cha uhaziri, pia SAUT kipo ila uhaziri ndiyo specialists na kimbilio la wakosefu wengi. Kwa kifupi ni ma makuku ya kizungu
Mkuu mbona umeniacha gizani? ?
 
Sawa Mkuu na hizi terminologies unaweza nifafanulia? Abuja, makuku ya kizungu,
 
Tabora fata tu kilichokupeleka.... Ukimwi na typhoid vinasumbua.... Na zaid usizoee mabint wa kinyamwez ukizan utawatumia tu usepe hakuna utang'ang'aniwa kiasi cha kusahau kwenu.... Ushirikina ni kipaumbele mkoa ule....
Ila ni wakalimu sana kama ndugu zao wasukuma......... Kuna chuo cha uhaziri pale tutaita ni zizi la mifugo ya kila sampuli zaidi changanya na zako..... Kila lakheri
 
Duuh sawa Mkuu. ..nitakuwa makini
 
Tabora kuna chuo cha uhaziri, pia SAUT kipo ila uhaziri ndiyo specialists na kimbilio la wakosefu wengi. Kwa kifupi ni ma makuku ya kizungu.
Pia Tabora kuna Abuja, pale Polisi officers mesi. Pia kuna mnada Jumamosi.
Kingine ukiishi Tabora huna choice zaidi ya kuwa malay.a au cha pombe.
Mnada Jumamosi pale Ipuli...
 
Ukifika epuka wake za watukua kichaa ni rahisi sana....
Kuna wanafunzi wa vyuo,wanachuna wale hakuna mfano(ni wadangaji by proffessionalni pazuri lakini
 
Back
Top Bottom