RORYA79
Senior Member
- Apr 3, 2014
- 130
- 61
Kama ni mtu wa Starehe kuna kumbi kama Oxygen lounge, ifernal, shimoni (kanyenye) na watoto warembo balaa toka chuo cha uhazili, ardhi, Nyuki, Ualimu kwa hiyo pamechangamka kiasi chake, Utakula kuku mpaka uchoke, Watoto wa kirundi wa kutosha. Ila hachana na wake za watu kama baadhi ya watu walivyoshauri hapo juu, jitahidi kufanya kilichokuleta kwani wadada hawa wana tabia ya kung'ang'ania wageni na ni kwa ushirikina zaidi, so unaweza Sahau familia yako ndg yangu. Otherwise, karibu sana tabora.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app