Msaada kuhusu mkoa wa Tabora

Msaada kuhusu mkoa wa Tabora

Mimi nakushauri nenda kafanye kilicho kupeleka then urudi ulipotoka kwa amani la sivyo watoto wa Kinyamwezi kule hawatakuacha salama!
 
3794e964f3de8efb3e5eeffdf1ad5fa4.jpg
 
Mimi nakushauri nenda kafanye kilicho kupeleka then urudi ulipotoka kwa amani la sivyo watoto wa Kinyamwezi kule hawatakuacha salama!
Usalama upo wa aina nyingi mkuu ungenifafanulia kidogo
 
Kimsingi mji ambao maisha ni cheap sana kutokana na mzunguko wa hela ni mdogo, wakazi ni 'waswahili'-wanapenda kuchunguzana maisha, washirikina, maneno mengi, wapenda starehe. Epuka wake za watu sbb utarogwa, mabinti kule wanatabia ya kung'ang'ania wanaume wageni sbb ya ugumu wa pesa, na mapenzi wanajua sema unaweza usichomoke ukiingia.. Kule hata buku 5 unapiga mzigo.
 
Tabora usafiri bajaji,pikipiki na baiskeli kwa wingi ,daladala chache mno

Ipuli mnadani usikose kwenda kuna nyama tamu za kuchoma.

Kitimoto kuna sehemu yake,ukifika ipuli ulizia ee bana weee kitu cha maana(sorry kama hautuagi hii)
 
Kwanza tujue unatokea wapi kwenda tabora ili tutengeneze relation. Usije ukawa umetoka kagera kwenda Tabora. Ni sawa na kutoka chooni kwenda bafuni hivyo huitaji dos na don'ts
 
Mkuu mbona umeniacha gizani? ?
Ni mkoa ambao unapaswa kuwa makini. Ukiwatazama kama washamba ila wana mambo.Usipende umbeya,uchokozi,kurukia mambo hovyohovyo nk.Kuwa mwangalifu.Ishi maisha ya kawaida mji usikumeze bila huruma. Hata starehe zipo.
 
Habari wana jf?

Natarajia kuelekea mkoa wa Tabora kikazi hivi karibuni

Sijawahi kufika mkoa huo kabla

Sasa naomba msaada wenu wana jf kuhusu mazingira,mandhari na watu wa mkoa huo. ... nini chakufanya, nini chakutokufanya na vingine vingi ambavyo unaweza ukahisi vitanipa mwangaza juu ya mkoa huo

Ahsanteni!
Mkuu hebu soma na hapa
Yaliyonikuta Tabora
 
Kimsingi mji ambao maisha ni cheap sana kutokana na mzunguko wa hela ni mdogo, wakazi ni 'waswahili'-wanapenda kuchunguzana maisha, washirikina, maneno mengi, wapenda starehe. Epuka wake za watu sbb utarogwa, mabinti kule wanatabia ya kung'ang'ania wanaume wageni sbb ya ugumu wa pesa, na mapenzi wanajua sema unaweza usichomoke ukiingia.. Kule hata buku 5 unapiga mzigo.
mbona vitisho ni vingi kuliko
 
Tabora usafiri bajaji,pikipiki na baiskeli kwa wingi ,daladala chache mno

Ipuli mnadani usikose kwenda kuna nyama tamu za kuchoma.

Kitimoto kuna sehemu yake,ukifika ipuli ulizia ee bana weee kitu cha maana(sorry kama hautuagi hii)
ni mtumiaji mzuri tuu
 
Back
Top Bottom