msaada kuhusu mechanical engineering

msaada kuhusu mechanical engineering

Ben4figure

Member
Joined
Jul 20, 2016
Posts
32
Reaction score
46
Samahani wanandugu mm nimechaguliwa UDSM mechanical eng kw kuanza mwaka huu....ila yan sielwi chochote kuhusu fani hii,kwa kuangalia soko lake na pia changamoto ya hii kitu,na yani inahusu nn hasa kiundani......kwa anayefahamu msaada please
 
Ajira zipo,,ila ni fani ngumu na yakupasa kukaza
 
Samahani wanandugu mm nimechaguliwa UDSM mechanical eng kw kuanza mwaka huu....ila yan sielwi chochote kuhusu fani hii,kwa kuangalia soko lake na pia changamoto ya hii kitu,na yani inahusu nn hasa kiundani......kwa anayefahamu msaada please
Mdogo wangu kwanini unasoma kitu usichokijua??? Kwanini hukuuliza kabla hujaomba??? Tafuta humu jukwaani kuna uzi wangu umeandikea "muongozo wa kozi engineering" unaweza google!!
 
Shukuru kuchaguliwa kuchukua hiyo fani ya uhandisi.

Kwanza hongera kwa kufanya vizuri somo la hisabati na fizikia

Pili, kuelekea nchi ya viwanda, ufikapo chuo, zingatia ubunifu, usaidie kubadilisha kazi za mikono kwenda kwa kutumia mashine km kutwanga.
 
fikiria kujiajiri kwa sana usifikirie kuajiriwa zaidi
 
Back
Top Bottom