Naomba ufafanuzi kuhusu kozi ya Mechanical engineering

Engine0964

Member
Sep 21, 2022
5
2
Wakuu kwa mwenye uelewa naomba msaada tafadhali.

Nimechaguliwa kozi ya Mechanical engineering chuo cha NIT ngazi ya Bachelor lakini naona ni ya miaka mitatu 3 nilikua nauliza kuna utofauti gani na kwenye vyuo vingine kwa sababu kozi hii inachukua miaka minne 4
 
Sawa tu
Mbona nchi zinazojielewa kila kozi ni mitatu tu, isipokuwa udaktari...
Miaka 4 ni kupoteza muda, sanasana utasomeshwa makorokoro ambayo hutakuja kuyatumia kazini wala katika maisha yako, yaani basi tu ni kukuongezea deni la mkopo liwe kubwa....
 
Ulisoma diploma? Kama ni wa form 6 google namba za ERB then uwapigie uwaulize kama wanaitambua kozi wa mechanical ya NIT au unaweza uliza walio maliza hapo.

NB: Ulitakiwa kuuliza kabla huja comfirm.
 
Sawa tu
Mbona nchi zinazojielewa kila kozi ni mitatu tu, isipokuwa udaktari...
Miaka 4 ni kupoteza muda, sanasana utasomeshwa makorokoro ambayo hutakuja kuyatumia kazini wala katika maisha yako, yaani basi tu ni kukuongezea deni la mkopo liwe kubwa....
Acha kupotosha watu mkuu! Hii data umetoa wapi? Unajua kuna nchi hizo zilizo endelea wanasoma engineering miaka 5 mpaka 6?

Kwa mtu wa form6 lazima asome engineering miaka minne.
 
Naona unatafuta ligi...
Kwa vile mnapelembwa huko basi ndio ukadhani dunia nzima...
Miaka 4 ni unatoka na Master, hiyo EU karibu yote na UK na majority ya US.
Au hizo nchi zilizo endelea ndio Russia na India ?
 
Nimemaliz 4m four Naomba kuuliza wakubwa nikitaka kusoma umeme vigezo gani natakiwa niwe navyo na hii kozi mwisho mwez gani wa kuchukua form. Naomba mnijuze wakubwa
 
Umeme katika level gani Electrical Engineering NTA level 4-6 au

NVA level 1-3 ya Electrical installation, Auto- electric au Industrial electricity?
 
Kaka samahan naomba unifafanulie kazi ya hizo kiundani hili nijue kipi sahihi kusomea au kipi bora naomba unisaidie sijuh chochote kuhusu umeme ila napenda umeme nisomee
 
Electrical Engineering ni kama inavyojieleza ni uhandisi wa umeme ila kwa hapo ni kwa level ya ufundi ya National Technical Award level 6 unasoma miaka 3 ukiwa na ufaulu wa Hesabu, Fizikia na Kemia. Utakuwa msaidizi wa mhandisi yani Engineer na huitwa Technicians yani fundi sanifu.

Hiyo NVA ni kirefu cha neno National Vocational Award nimetaja Electrical installation ni ufundi umeme wa majumba, hiyo Auto Electrical ni ufundi umeme wa magari na Industrial electricity ni ufundi umeme wa Viwandani na kimsingi hutolewa na vyuo vya veta n.k ila katika level 3 na wanaitwa artisan yani fundi mchundo hapa uwe na ufaulu wa walau pass 4 katika matokeo ya kidato cha nne.
 
Naomba ufafanuzi wakubwa kuhusu course ya auto electronic kiundani zaid kama nikisomea iyo course kazi gani naweza kufanya au nitakuwa mtu gani upande gani au nafas gani nikimalza kusomea
 
Jamaa huwa anajikuta anajua kila kitu kuhusu engineering lakn hamna kitu! Iyo miaka mi5 mpk 6 huwa ni degree na masters vimekua intergrated pamoja.
Lakini pia kuna baadhi ya vyuo kama university of capetown SA degree ya engineering standard ni miaka 4 ila inakupa option ya kuisoma mpk miaka 5 kma unaona hauwezi kuendena na kasi ya coverage ndani ya miaka minne.
 
Kadhalika,chuo ch oxford engineering ni miaka 4 na unatoka na Masters of eng so generally hakuna rule kwamba degree ya engineering lazima isomwe miaka 4, lkn pia haiwezi kusomwa chini ya miaka 3.
 
Back
Top Bottom