Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,724
Naomba kuuliza je kutumia inverter kwa matumiz ya ufundi simu je inafaa? Na iwe na sifa zip?
Nahitaji kufungua banda la ufundi simu na laptop, sasa sihitaji kutumia umeme wa tanesko,nahitaji nitumie inverter , Naomba kujua JE INAFAA ,na kama inafaa nitumie yenye sifa zipi? Na zinapatikana kwa bei gani?