Msaada kuhusu matibabu ya paka

Msaada kuhusu matibabu ya paka

Yote nilifanya lakini alitoloka

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Ukisha mchukua usigeuke nyuma kwani wahenga walisema ukigeuka nyuma hata kama umemtoa mwanza hadi Dar atarudi tu kwani kitendo chako cha kugeuka ndo humfanya akumbuke alilotoka
 
Ukisha mchukua usigeuke nyuma kwani wahenga walisema ukigeuka nyuma hata kama umemtoa mwanza hadi Dar atarudi tu kwani kitendo chako cha kugeuka ndo humfanya akumbuke alilotoka
Duuh, hii kamba Sasa... Hivi nawewe unawaamini hao wahenga Hadi Leo? Hebu nicafanulie atarudike kutoka MZA hadi DAR? [emoji16]
 
Back
Top Bottom