Msaada kuhusu Mathematics

Msaada kuhusu Mathematics

Computer science or any science related Bsc unaweza kuwa admitted kwenye course ya Msc yoyote at least kwa kutumia PGD ila bila Bsc n ngumu hata hiyo course yako iwe na hesabu ngapi bado n shida tu na hata ukienda kimagumashi utateseka tu! Angalia ustaarabu mwingine kijana

Nime graduate, bachelor of education special need. Nimechukua Mathematics kam teaching subject, Je siwez soma Msc with Mathematics
 
Back
Top Bottom