Msaada kuhusu Mathematics

Msaada kuhusu Mathematics

Atasubiri sana huyu dogo na hicho kijiD chake. Arudi nyuma tu kama ndoto yake ni kuwa mwalimu.

Kitendo cha kukimbia bachelor of science tosha uwezo wake mdogo
Komaa uko uko biashara kk
Utaumbuka uku kwenye coordinate 2
 
Kweli Tanzania tuna majuha wengi sijawahi ona !!!!
Mnaopiga kelele endeleni ila kama kuna wenye professional kubwa zaidi ya hyo ndo aendelee kupiga kelele,
MSc Fincance,
CPA
CI(insurance)
CM( MAT)
TIOB (candidate 2015/2016)
BBA(accounting major).
Sasa piga kelele Judge me kama tunafanana na wewe kufeli kwako maisha kusikufanye ushindwe toa mawazo au kuchangia kwa busara. ..
Kaa na ujinga wako
 
Kwan kuwa na hivyo vyet ndo unahis umewapita watu maisha?
Watu hawana hata kimoja iko ila
We mwenyenavyo unasubir mbal na unaomba uwe walau mfanyakaz wake
Penda kuficha makaratas yako hayo
Watu wana ACCA Wameajiliwa na wasiokuwa nayo
 
Kweli Tanzania tuna majuha wengi sijawahi ona !!!!
Mnaopiga kelele endeleni ila kama kuna wenye professional kubwa zaidi ya hyo ndo aendelee kupiga kelele,
MSc Fincance,
CPA
CI(insurance)
CM( MAT)
TIOB (candidate 2015/2016)
BBA(accounting major).
Sasa piga kelele Judge me kama tunafanana na wewe kufeli kwako maisha kusikufanye ushindwe toa mawazo au kuchangia kwa busara. ..
Kaa na ujinga wako

Una matatizo upstairs si bure wewe bwana mdogo.
Mpaka mwaka 2013 ulikuwa huna hata undergraduate. Nakushangaa sana unapojitahidi kutoa povu jingi kwa qualifications ambazo pengine utaishia kuota tu kuzifikia. Umekaririshwa na hao vilaza wenzio huko vijiweni ndo maana unaishia kutajataja hapa.
JF sio kijiweni pa wahuni na cowards kama wewe.
Narudia tena, huna CPA(T) wala MSc Finance sasa bisha nitoe ushahidi hapa.
 
maelezo yako yanaonesha tu shule hujaenda D A-level ni hafifu ?? Nimekwambia weka yako kama unagats hzo afu kingne mi najisifu hesabu naijua sibahatishi inaezekana kipimo na uwezo wako Wa mawazo ndo umekwama kwenye D ni kufeli,miaka 12 iliyopita huna busara kiasi hcho am doubting your personality

Mkuu mi sikulaumu kwa kupata D ya hesabu advance lakini ukweli utabaki palepale kuwa D ni dhaifu ingawa hata hiyo D kupata kazi ifanyike. Huwezi fananisha D ya advanced maths na D za history na nduguze.
Kosa ulifanya ulipoamua kufanya BBA, nani alikushauri hivyo?
 
Kweli Tanzania tuna majuha wengi sijawahi ona !!!!
Mnaopiga kelele endeleni ila kama kuna wenye professional kubwa zaidi ya hyo ndo aendelee kupiga kelele,
MSc Fincance,
CPA
CI(insurance)
CM( MAT)
TIOB (candidate 2015/2016)
BBA(accounting major).
Sasa piga kelele Judge me kama tunafanana na wewe kufeli kwako maisha kusikufanye ushindwe toa mawazo au kuchangia kwa busara. ..
Kaa na ujinga wako

Uzi wako ulikuwa mzuri mwanzo..ila kwa haya maneno yko sizan kam una ata kimoja apo..alaf kiukweli katka PCM hesabu ndo somo rahisi sana..so ucjisifu kwa D lete fact umu
 
Mkuu mi sikulaumu kwa kupata D ya hesabu advance lakini ukweli utabaki palepale kuwa D ni dhaifu ingawa hata hiyo D kupata kazi ifanyike. Huwezi fananisha D ya advanced maths na D za history na nduguze.
Kosa ulifanya ulipoamua kufanya BBA, nani alikushauri hivyo?

Dogo hajitambui huyu. Halafu ni kwamba alipata III mbovu kwenye ufaulu wa form six so akawa hana jinsi zaidi ya kwende huko kwenye BBA tena vyuo uchwara huko nako hakuperform kaishia kupata gentleman. Sasa anafanya kupapasa atoke vp kwa cheap conclusion eti kisa kapataA o'level D ya pure maths na ndani ya corse yake hapo chuoni kapata A&B+ ya business mathematics akajidanganya kwamba anaweza soma PGD ya maths ili angalau asafishe njia ya kupata MSc Finance.
Kinachonisikitisha ni hizo assumptions zake za kizembe kupata admissions kirahisi na kusahau kwamba huko nyuma aliharibu katika kila stage.

Hizo achievements ataishia kuziorodhesha tu.
 
Mkuu mi sikulaumu kwa kupata D ya hesabu advance lakini ukweli utabaki palepale kuwa D ni dhaifu ingawa hata hiyo D kupata kazi ifanyike. Huwezi fananisha D ya advanced maths na D za history na nduguze.
Kosa ulifanya ulipoamua kufanya BBA, nani alikushauri hivyo?

Kufanya BBA sio kosa just malengo 2..ila mkuu alchoniuz ni kuanza kumention hzo professional zake kwa show off umu..ata mm pia advance nlifanya hyo combination.. ila chuo nmefanya BBA(accounting) kwa mapenz yang na naunga msc(finance&investment) IFM branch mwanza..mkuu kaleta uzi mzur ila kaharbu kujiona yupo mbali san umu ndan kulko wengne..
 
Nataka kusoma masters of science in mathematics lakini sifa sina kwakua undergraduate sikusoma Bsc hvo nauliza wadau njia gani nipite manake nimejarbu tafuta postgraduate diploma in mathematics naona bongo kama hakuna ivo kama kuna wadau wenye kufahamu ilipo washushe mawazo ..

Ona alichoandika hapa!!
Yaani mtu tayari ana MSc Finance na CPA(T) unademand kusoma maths ili iweje? ni bora dogo ungeweka wazi ukasaidiwa ushauri na sio kukurupuka tu.
Mimi ninachoona hapa kama lengo lako ilikuwa ni kuspecialize in maths basi baada ya kuharibu Advance ungeopt kwenda diploma in Ed there after BSc(Maths) na ingetokea ukaunderperform basi leo hii usingeleta huu uzi hapa kwani ilikuwa rahisi sana kwenda kuchukua PGD na kumalizia hiyo MSc Maths.
Elimu ni ngazi kwa ngazi bwana mdogo na uwapo shule komaa make ukilegeza stage moja basi jua the burden is ahead of you.

Pia ulikosa mshauri toka mwanzo ulipoianza Advance hapo ndo indicator wa what to do and where to go as a means of attaining the best professional knowledge of your desires.

Next time don't ever try arguing with whom you know nothing about.
 
Kufanya BBA sio kosa just malengo 2..ila mkuu alchoniuz ni kuanza kumention hzo professional zake kwa show off umu..ata mm pia advance nlifanya hyo combination.. ila chuo nmefanya BBA(accounting) kwa mapenz yang na naunga msc(finance&investment) IFM branch mwanza..mkuu kaleta uzi mzur ila kaharbu kujiona yupo mbali san umu ndan kulko wengne..

Ni kweli mkuu usemayo lakini kauli yangu ya kusema alifanya kosa kufanya BBA sikumaanisha ni kosa au haifai kufanya BBA isipokuwa namlaumu yeye kufanya BBA wakati hana ambition nayo na mbeleni alijua angekwama tu,bora angefanya Bsc with education ingemtoa
 
Nmekuelewa mkuu..ni kweli inaonekana kipindi anachagua BBA hakuwa na malengo atafanya nn mbele wakat interest yke ilikuwa education
 
Huwezi kusoma masters ya hesabu kama huna bachelor Science in mathematics or related field,that does exclude Course like B com,BBA etc.
 
Naona ni mwendo wa kujisifia tu humu kuhusu hesabu,hapo na mi nimo, o level,B,advanced math C,baada ya hapo nikapiga engineering maths I mpka III nikaongeza ya IV pia.
 
Kiukwel dogo ana alama hafifu
wengine tumepata B na bado tuliona tumeanguka
Ukwel ndo huo hesabu ndo somo jepesi kwenye PCM
Me nimemaliza 2008 na nilikuwa na B nikajiona ---- kwa kukosa A[/QUO

My year mate kama sio Necta mate wa advance
 
Ivi Tanzania nako kuna wakali wa MATHEMATICS...???:confused2::confused2:

Hatutaki kuskia mbwembwe tunachotaka kukiona hapa ni mnatunga ma-theory na ma-formula ya maana tena mapyamapya sio kubandika vi B na D vyenu humu.., tena vi-score vyenyewe vimekaa kisiasa

Mtunge vitabu vya Pure Maths tena kwa kiswahili tuvione sio kujisifia tu humu kwenye mitandao.
 
Habari ndugu Watanzania!

Mimi ni kijana Nina umri Wa miaka 25 nimemalza degree business administration BBA(accounting major) lakn advance nilisoma PCM na katika somo nilipendalo hesabu nilifanya vyema kama ilivokua huko mwanzo nilikuwa nkifUlu vizuri tuu hesabu.

Napenda sana kusoma na kufundisha hesabu nimejarbu kupitia katika vyuo vyetu lakini hakuna postgraduate diploma in mathematics or anything related na Mimi nataka kusoma postgraduate studies majoring in mathematics.

Nilienda udom nkambiwa kuna masters na kwa Mimi niliesoma BBA siwez kuna admitted udsm kuna masters ya Masterz ya mathematics modelling na masters in mathematics lakini kwa degree yangu ya kwanza ya BBA hawakubali admission kwangu.

Naomba ushauri wenu nifanyeje niweze kua mtaalamu Wa hesabu kufundisha.

Matokeo yangu katika somo la hesabu;
University studies ; A & B+
Advance: pcm I scored D
O-level : A

Napenda sana somo hili kufundisha na kuwaelimisha wenzangu hasa kuwa mtaalamu Wa hesabu.

Sasa mkuu sijaelewa hapo kwenye red!! kufaulu sana/kufanya vyema kwa kupata D? Lakini wakati unachagua kozi za undergraduate hukuona kozi za maths/ sayansi? kama kweli ulikua unapenda sayansi kwanini hukuchagua kipindi kile? unavyotaka kusoma masters ya maths huku umesoma biashara unadhani hesabu ya chuoni hasa undergrad na grad ni zile za 3 by 3 matrix, dy/dx, mean and median za advance?

Ni vyema tukawa tunaangalia mbele zaidi hasa wakati tunafanya maamuzi ambayo matokeo yake yataonekana maishani mwetu kwa muda mrefu!!!

NB: Usikate tamaa, fwatilia arusha kuna chuo cha mandela nao wanatoa kozi za sayansi na maths ila sizani kama wanatoa kwa PGD!!
 
Ivi Tanzania nako kuna wakali wa MATHEMATICS...???:confused2::confused2:

Hatutaki kuskia mbwembwe tunachotaka kukiona hapa ni mnatunga ma-theory na ma-formula ya maana tena mapyamapya sio kubandika vi B na D vyenu humu.., tena vi-score vyenyewe vimekaa kisiasa

Mtunge vitabu vya Pure Maths tena kwa kiswahili tuvione sio kujisifia tu humu kwenye mitandao.
Hahahahahahah hapa ndo mwisho wa majigambo yote, watu wanasoma historia ya hesabu wanakuja kubishana humu. kama kweli kuna wakili wafanye hivyo tuone na kuwapongeza.
 
Back
Top Bottom