Msaada kuhusu Mathematics

Msaada kuhusu Mathematics

maelezo yako yanaonesha tu shule hujaenda D A-level ni hafifu ?? Nimekwambia weka yako kama unagats hzo afu kingne mi najisifu hesabu naijua sibahatishi inaezekana kipimo na uwezo wako Wa mawazo ndo umekwama kwenye D ni kufeli,miaka 12 iliyopita huna busara kiasi hcho am doubting your personality

We kijana zao la mlugo ebu acha mbwembwe wewe kubali tu kwamba hukuperform vizuri kwenye hilo somo yaishe.
Halafu eti unajustify my personality eti kisa kukwambia ukweli.
Nenda kasomee huo ualimu utoe products za kimlugolugo just the same as yours.
 
Kiukwel dogo ana alama hafifu
wengine tumepata B na bado tuliona tumeanguka
Ukwel ndo huo hesabu ndo somo jepesi kwenye PCM
Me nimemaliza 2008 na nilikuwa na B nikajiona ---- kwa kukosa A
 
Bora ukae kimya kuliko kujidharirisha na sentensi zako ivi unajua nimemalza mwaka gani ama unakurupuka na kujisemesha???
Mimi si level ako ya kuandika andika without facts na kwa taarifa ako fupi nimemalza MSc Finance mwaka jana and CPA holder asa endelea kupiga kelele na judgement zako am professional sibishani na without facts.
Off course D is nat lyk A lakn nilichokuliza na kutaka comments hukukiona ukaona D tu Diploma kasome wewe level angu tofauti akili huna ndo mana umeshindwa elewa nataka masters unakurupuka nenda diploma bila kujua masters na diploma mbali mbali
 
Computer science or any science related Bsc unaweza kuwa admitted kwenye course ya Msc yoyote at least kwa kutumia PGD ila bila Bsc n ngumu hata hiyo course yako iwe na hesabu ngapi bado n shida tu na hata ukienda kimagumashi utateseka tu! Angalia ustaarabu mwingine kijana
 
Huh
We dogo nikajua ulikuwa kipanga wa maths kumbe msindikizaji tu!! kama somo ulilipenda ilikuwaje ukascore D advance wakati kwenye comb ya PCM hesabu ndiyo somo jepesi kabisa kufumua A au B.

Ulishawahi kupiga advanced maths wewe au unaongea acha kujifanya mjuaji hesabu za advanced HABARI nyingine hiyo D yake IPO poa tena sio ya BRN
 
Asante mkuu najarbu tafuta PGD of sc kama ntafanikiwa
 
Asante mwambie naona anaongea ongea tu.

Kwahiyo kwa akili yako ndogo unahisi mi nilikomea std vii? halafu unabisha kuwa wewe sio zao la mlugo huh?
Itoshe tu kukwambia kuwa kote huko unakoelekea kufika mi nilishapita kijana.... eti CPA holder??? ko we unahisi after form six ambayo nilifaulu vizuri kabisa kwa nini nisiendelee na stages nyingine??
 
Huh

Ulishawahi kupiga advanced maths wewe au unaongea acha kujifanya mjuaji hesabu za advanced HABARI nyingine hiyo D yake IPO poa tena sio ya BRN

Eti D ipo poa kabisa hapo?! ndo mnavyojifariji nyie vijana leo eee?
mimi nimesoma PCM nachosema ni hivi katika comb hii maths ndiyo nyepesi kuliko vyote ikifuatiwa na chemistry then physics. Aje member yeyote aliyesoma PCM hapa atoe ushuhuda n prove me wrong.
 
Tunashukuru kwa kujua kuwa umepiga PCM
 
We dogo nikajua ulikuwa kipanga wa maths kumbe msindikizaji tu!! kama somo ulilipenda ilikuwaje ukascore D advance wakati kwenye comb ya PCM hesabu ndiyo somo jepesi kabisa kufumua A au B.

hata mm nimeliona hilo nahc hayo mengine alipiga v principle vya EE
 
Umeona mkuu! nimejitahidi sana kumuweka sawa ili angalau atengue kauli kuwa eti alikuwa afaulu sana maths kwa viwango vyaD??? halafu eti anakuja na clarifications za ufaulu wa chuo...! hivi business mathematics nayo inadefend ukipanga wa hesabu wakati hata aliyesoma HGE anaiona nyanya kabisa?? vijihesabu vya kutafuta coefficiency of correlation au annuity?? aisee tusiidharirishe maths especially when it comes to pure mathematics... mle kuna vitu vitamu unasolve vitu vinatiririka baraa aaaaisee nakumbuka mbali sana!!
 
Kwahiyo kwa akili yako ndogo unahisi mi nilikomea std vii? halafu unabisha kuwa wewe sio zao la mlugo huh?
Itoshe tu kukwambia kuwa kote huko unakoelekea kufika mi nilishapita kijana.... eti CPA holder??? ko we unahisi after form six ambayo nilifaulu vizuri kabisa kwa nini nisiendelee na stages nyingine??

Hahaaah umepanic wewe huna facts katafute saizi zako,
Vile hujielewi unazungumza zungumza tu..
Aya mkuu ulisoma PCM na maths ndo jepesi umefurahi sasa???
Kama mlugo alikua Waziri 2007-2009 endelea kupayuka utashinda..

Majitu mengne kweli busara hakuna nshakwambia even silence means a speech uelewi kwa maneno yako tu yatosha kutambua uelewa wako na level yako ya Elimu..
Waliofaulu na wenye akili wanajibu hoja kwa hoja
 
Kiukwel dogo ana alama hafifu
wengine tumepata B na bado tuliona tumeanguka
Ukwel ndo huo hesabu ndo somo jepesi kwenye PCM
Me nimemaliza 2008 na nilikuwa na B nikajiona ---- kwa kukosa A

Mwambie huyo kilaza make anajiaminisha kuwa kafaulu sana hilo somo kwa viwango vya D na ndo alikuwa analipenda eti?! sijui kama mziki wa physics alitoboa kama sio kuambulia yai kabisaa!!
Halafu bado nawasiwasi na ufaulu wake huko chuoni make anajihami sana kuokoteleza vijiPGD yani hapo tu ni proof kwamba mwendo wake niwa mkokoteni.
 
Tunashukuru kwa kujua kuwa umepiga PCM

Ndiyo maanake kijana hilo pigia mstari kabisa na next time usimvimbishe kichwa kilaza kama huyu. Mwambie elimu haitaki shortcut hivyo arudi chini kwenye diploma kulee akasomee huo ualimu wake sio kutafuta vipeperushi vya PGD make haelewi kwanini watu huattend PGD.
 
Umeona mkuu! nimejitahidi sana kumuweka sawa ili angalau atengue kauli kuwa eti alikuwa afaulu sana maths kwa viwango vyaD??? halafu eti anakuja na clarifications za ufaulu wa chuo...! hivi business mathematics nayo inadefend ukipanga wa hesabu wakati hata aliyesoma HGE anaiona nyanya kabisa?? vijihesabu vya kutafuta coefficiency of correlation au annuity?? aisee tusiidharirishe maths especially when it comes to pure mathematics... mle kuna vitu vitamu unasolve vitu vinatiririka baraa aaaaisee nakumbuka mbali sana!!

Mkuu elewa nimekwambia nafaulu vizuri kwa hyo sentensi haina clarification ni level gani pia kupata D mtuhani Wa mwisho si kigezo cha kumpima mtu anajua ama Hajui waliosoma sayansi wanajua kuna watu walikua hatari sana watu karbu wote waliwategemea kuwasolvia ila NECTA walifanyo ovyo ,
Nikweli nimepata D ila vle najiamini kuhusu hilo somo ndo mana nataka nipige masters yake more than 3mil a year kama sijiamini au silijui nisingetaka kusoma na kupoteza pesa zangu miaka miwili na ndo mana hujaona nataka mfadhili kwa ungelalamika na kua na hofu kua nataka poteza pesa za wahisani NALIPA MWENYEWE hvo najiamn kwa nachokifanya sibahatishi na nimekwambia hesabu naijua sibahatishi.
 
nenda karudie form six upige A akaf omba chuo upige hyo mastaz yako.ww unepata D unajiita mkali nd maan unakataliwa kupiga mastaz na D ya hesab
 
"The foolish man talks more than he knws but a wise man knws more than he talks" Mao Tsetung
 
Mkuu elewa nimekwambia nafaulu vizuri kwa hyo sentensi haina clarification ni level gani pia kupata D mtuhani Wa mwisho si kigezo cha kumpima mtu anajua ama Hajui waliosoma sayansi wanajua kuna watu walikua hatari sana watu karbu wote waliwategemea kuwasolvia ila NECTA walifanyo ovyo ,
Nikweli nimepata D ila vle najiamini kuhusu hilo somo ndo mana nataka nipige masters yake more than 3mil a year kama sijiamini au silijui nisingetaka kusoma na kupoteza pesa zangu miaka miwili na ndo mana hujaona nataka mfadhili kwa ungelalamika na kua na hofu kua nataka poteza pesa za wahisani NALIPA MWENYEWE hvo najiamn kwa nachokifanya sibahatishi na nimekwambia hesabu naijua sibahatishi.

Takataka, kamdanganye manzi yako chumbani kwamba eti hubahatishi!
Kijana hujielewi wewe make kujikanganya kwingi mara masters mara pgd mara tayari una masters na CPA??
Chuo chenyewe ulichosoma nicha kata tena kwa ufaulu mbovu kabisa.
Leta proof hiyo masters uliisomea wapi na lini umegraduate ili nikuumbue vizuri.
Zao la mlugo na kawaMBWA utalijua tuu hata presentation poor shallow tina tina.
Back to school mdogo wangu.
 
Back
Top Bottom